Utapoteza pesa ukifukuzia wanawake, hupotezi wanawake ukitafuta pesa

Utapoteza pesa ukifukuzia wanawake, hupotezi wanawake ukitafuta pesa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Hakuna cha shetani alinipitia wala kisingizio cha kipuuzi!! Nyege zako zilikuzidi akili ukawa huna tofauti na mnyama, watu wanamshukuru mungu wanapotafuna wanawake bila kujua wanamaliza pesa ila ni wa kwanza wa kumlaumu shetani pesa zikiisha.

Mjingana pesa zakewanaachana ndani ya mmuda mfupi mno

Kijana hakikisha unaoa unapopata pesa, lasivyo pesa zako zitaisha haraka mno kwa wanawake
 
Kwani pesa tunatafuta za kazi gani??

Ni kama umshauri mtu asinywe pombe kwamba pesa zitaisha.

Wazee tumieni pesa kwasababu mnazitafuta kwa shida na hata kama mkizibania mtakufa mtaziacha.

#Bagwell
 
sifa kubwa ya pesa ni kuisha hivyo usiogope sana.
 
Huo ni uoga wa maisha, dushe umezaliwa nalo hivyo unawajibika kulilisha vema.... pesa umezikuta na utaziacha.

Hakikisha dushe limeridhika ndo mambo mambo ya kijinga yafuate.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom