Habarini ndugu zangu?
Mimi binafsi kuna jambo linalonisumbua kichwa.
Kuna ex boyfriend wangu ambaye toka tulipoanza kudate, nikiri tu kuwa ilikuwa na mahusiano yenye furaha na amani...
Ni jumapili tulivu ya mwanzo wa mwezi february, mwezi mwekundu, mwezi wa wapendanao. Nikiwa nimeupumzisha mwili uliochoshwa na vurugu za ujana na starehe za jumamosi.
Mara fikra zinarudi miaka...
Mhusika hanashida kabisa ila hawa ndugu zake km wanatabia ambazo sizielewi, kumuacha ntaumia ntamuumiza, kuendelea nae hadi mafungamano rasmi nahisi kma itakua na sintoekewana kwa sababu ya hao...
Naomba kuwakilisha kwa wadau,
Kuna la kujifunza kutokana na mazoeya/mwenendo mbaya miongoni mwetu sisi vijana(kwa vijana wa jinsia zote mbili).Kumekuwa na kasumba kwa vijana kupimana afya kwa...
Mlikuwa na mahusiano
Mkaachana/wew ukamuacha
Maisha yakaendelea
Mwenzio maisha na neema zinamuwakia
Anaendelea kimaisha tofauti na mlivokuwa pamoja
Amenawiri
Waonao maendeleo yke wanakuletea...
Mara kwa mara kumekua na baadhi ya watu hasa wauzaji wa tiba asilia wakisema kua kujichua kunachangia kiasi kikubwa upungufu wa nguvu za kiume,
Nimejaribu kusoma kusoma baadhi ya machapisho na...
Nimejichunguza tabia yangu.
Nimejiona kuwa huwa nina tabia sijui kama ni mbaya kwenu wenzangu, pamoja na umri wako huu, huwa sibembelezi mwanamke.
Naweza kumpenda mwanamke , nikamtongoza, lakini...
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa.
Ndoa haijafungwa no sex...
Habarini wakuu .naimani mko powa kwa uwezo wa muumba..
Picha linaanza nikiwa sekondari miaka ya 2012 nikaanza kuingia kwenye kuangalia porno na kuanza kujichuka .
Hii hali ilinitesa sana miaka...
Good morning Jf!
Kuna hii tabia ya kusahau haraka mara baada ya jambo la furaha au huzuni kupita mda mchache.
Mfano, unaweza uka breakup na mwanamke leo, kesho kutwa tu usha sahau kabisa akili...
Sielewi kama ndoto hivi, Ila ni kweli ilikuwa mwishoni mwa mwaka Jana nilipoanza penzi jipya nililolitamani siku nyingi, Ile nimeanza tu sijakaa Sawa nikaliliwa shida ya elfu kumi kumi 50, japo...
SINGLES, THIS IS FOR YOU!
I join my faith with yours as we declare that 2020 will definitely be your year of marital settlement.
Therefore...
All marital delays are removed!
All marital spells...
Sasa kama kweli Dada zetu mmefikia kiwango hiki cha kutamani kuolewa,sasa kwanini mkiolewa mnajisahau na mbashindwa kuwa na subra na uvumilivu ktk ndoa?
Nyie mlio ktk ndoa mbona mmejisahau...
Naitwa Joseph mwenye umri wa miaka 25, naishi Dar, ni mwajiriwa.
Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia 38-42, aliye tayari aniPM.
NB: Nimeamua nikiwa na akili timamu.
Una mda gani tangu umeacha au kuachika vipi unajutia maamuzi yako au unajivunia kwa nini,mimi binafsi mabadiliko ni makubwa sana tena sana Tuuu! Yaani sijui nilichelewa wapi?
Hii kitu inaitwa mapenzi sijui kupenda aisee toka yule kenge anitende sitokuja sahau, nakumbuka ile hali nilikuwa sili ata chakula nashinda tu ndani nimelala, mda wote akili ipo kwake, nakumbuka...
Kapata demu mwenye mtoto wa miaka mitano, ndo mnaita single mother, demu ni mkali sana haswaaa, ila yeye kanambia anawaogopa single mother, ila kazama kwa penzi la huyo mama, uyo mdada ana bellow...
Kupoteza hamu ya kuwachapa hawa viumbe ni kawaida?
Kipindi cha nyuma ilikuwa kiumbe chochote kikipita lazima shingo yote igeuke na kumsindikiza kwa macho mpaka atakapoishia,mbaya zaidi akiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.