MBINU ZA KUFANYA ILI KUPATA MTOTO UNAYEMTAKA
Zipo njia za kumwezesha mzazi kupata mtoto wanayemtaka kwa kwa kutumia namna anavyofanya tendo la ndoa na mwenzi wake inshaa Allah
KUPATA...
Nimefungua uzi huu kutaka kushare mawazo na watu mbalimbali.. ya kimaisha.
Katika maisha kuna mambo mengi sana,
Tunafanya mambo mbalimbali kama kuupa mwili mahitaji muhimu (basic needs)
Kufanya...
Mtaalam Mmoja wa masuala ya Ngono amesema kwamba Mwanamke yoyote akimaliza Kufanya Tendo la Ndoa na hata la Uzinifu anatakiwa aseme ( amwambie ) Mwanaume ASANTE SANA ( AMSHUKURU ) kwani Wao...
1. Bahiri
2. Unamfuatilia Sana
3. Humlidhishi
4. Hauna Upendo wa kweli
5. Hauna Care
6. Hauna Gari
7. Sio Type yake
8. Uliamka Asubuh Ukakuta Umeachwa
9. Hauna Hela
10.Yote Ni Majibu
Tujuane...
Kuna wale wadada ambao ukishatongoza na kukubaliwa tu unakua baba.
Yan haishi kuomba vitu; vocha, utasikia hawajala kwao, mara anaenda sehemu hana nauli, anaenda sokoni kununua nguo atataka umpe...
Nilishika ujauzito tukiwa Honeymoon Mombasa. Nilistuka baada ya kurudi na kuanza kazi hali ya kutapika ilipoanza . Vyakula vingi vilinikataa, niliishi kwa banana milk shake. First trimester...
Habari Wakuu,
Me Ni Mvulana Wa Miaka 21, Nina Mpenzi Ambae Nimempata Kama Week 2 Zilizopita,Nilimtongoza Na Akanikubalia vizuri tu.
Cha Kushangaza Ni Kwamba Sometimes Hanitafuti Hadi Me Ndo...
Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.
Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu...
Ilikuwa ni Agosti 1, 1984, katika kijiji cha Chonwa Bwana Constantine Petro Kizaka aliondoka nyumbani kwake akiwa amefuatana na mkewe Bi, Celine Yusti Daniel kwenda porini kukata kuni, mkewe...
Dah wadau nashindwa nianzie wap nimemtongza mganga wa kienyeji bila mm kujua nimefuatilia juzi ndo nimekuja kugudua kuwa ni mganga kusema kweli ni mtam ila tatzo yy ni mganga na mm na watu kama...
Habarini wana jamvi, ni jumamosi tulivu hali ya hewa nzuri mkoa niliopo, kabla ya kuwachosha nipo nimepumzika nyumbani tu. Ghafla limenijia wazo akilini huu msemo wa ndoa ndoana nimejitahidi...
Haya, jamani msimu ndo huo unainga soon baada ya huu mwezi dume unaotarajia kutamatika leo..
Ni mda sasa wa kuchagua the best partner ili usirebuke nae katika hiki kipindi adhim cha "Mapenzi...
Wazazi msiwapangie au kuwatafutia wachumba watoto wenu.
Kuna rafiki yangu mmoja tumeshibana sana.Tangu shule ya msingi mpaka sasa hivi nywele zinakaribia kubadilika rangi. Baada tu ya kuhitimu...
Namna 10 ambazo watu huwasaliti wenzi wao bila kujua
1. KUTANIANA KIMAPENZI
Kutaniana kidogo na wafanyakazi wenzako ofisini sio jambo baya, unaweza kulidhibiti. Lakini epuka kutaniana nao...
Wote tunahitaji heshima. Iwe ni kutoka kwa bosi wetu, wafanyakazi wenzetu, marafiki na familia.
Heshima hutafutwa. Hupewi tuu kama ujataka. Sio karanga za kuonja. Lazima kwanza ujifunze kuheshimu...
POISON THAT KILLS MEN
Once upon a time a beautiful girl got tired of her marriage life and wanted to murder her spouse.
One morning she ran to her mother and said to her "mother, I am tired of...
Nilijipa muda kidogo kujua sababu za wanawake wanadai wanakosa wanaume wa kuwaoa na wale wanaolani wanaume kuwa si watu wakaamua waachane nao, Tabia za wanawake hawa zinaenda kufanana na hizi ni...
Napinga na kukemea kwa ukali kwa mtoto wa kike kutunyima mbunye!,Hii si haki na haistahiri.. jinsia sio za kwenu mmepewa tu mzishikilie na zinamatumizi yake nyinyi mnanyima!!
Haingii akilini...
Kwa nyie mlio-oa au ku-olewa;ikitokea nafasi nyingine ya kumuoa au kuolewa na uliye naye,je uko tayari kuendelea na uliye naye?kama jibu ni ndiyo/hapana...sababu ni zipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.