Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuanzia mwanzo wa mwezi wa pili, nimekuwa mtu nisiyejielewa. Nimechanganyikiwa kiasi cha kutojitambua. Nimekua mlevi kupindukia...najikojolea hadharani. Nahitaji msaada wenu wanaJF. Ninyi ndio...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mhadhiri wa saikolojia na sayansi ya ubongo bwana Santos ataja njia tano za kujitengenezea furaha katika maisha yako ya kila siku. Kwa mujibu wa shirika la BBC, Mhadhiri wa saikolojia na sayansi...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Tangu kipindi hicho hadi sasa umri wa kuoa umefika lakini kila nikichagua mwanamke ninayemtaka nakuta ana mdomo mdogo na ile kauli ya marehemu baba inanijia bado napata tabu kwa nini baba...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Nampenda ananipenda. Tumefahamiana kwa muda kama wa mwezi mmoja. Siku hiyo ananialika nyumbani kwake tuonane baada ya kutoonana muda mrefu. Najiandaa freshi naenda. Njiani napitia keki na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating...
5 Reactions
93 Replies
8K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Jamani msinichoshe, nisiwachosheee, nilipokuwa hamna mabaya sanaa wala memaa sanaa, na najua hamnijali sanaa kutaka kujua. Tupeane story. Story iliopita...
47 Reactions
1K Replies
275K Views
Kuna dada mtaani hapa tulishawah kuwa na mapenzi zaman kwa bahati mbaya kipindi icho nlikuwa sijui mambo nlimchapa kimoja nikawa chalii Sasa leo nimemkumbushia angalau ata nipashe kiporo...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kama unajijua kabisa usiku huu wa leo una ratiba ya kugegedwa au kugegeda basi na inakupasa kuzingatia yafuatayo:- 1. Safisha KINENA chako kiwe safi kabisa ( hasa kwa wanawake) kwani yale yale...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadada huteseka sana hasa pale wanapotaka kupata watoto na wanakuwa hawapatikani... Kuna bosi wangu mmoja,yeye hajabahatika kuolewa ila alizaa na mtu tu kutokana na umri kumtupa mkono.Ana mtoto...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Aiseee mishe nyingine shida. Nilikuwa naishi Mara. Maeneo ya Tarime, one day nkaamua kujiachia. Nikamuona dada mmoja wa hatari. Tukaongea tukakubaliana. Ilikuwa ijumaa, basi kabla ya mchezo...
13 Reactions
105 Replies
18K Views
Ukisikia kwa watu mbalimbali wanakujulisha ya kuwa mpenzi wako/mume/mkeo anachepuka...wewe utachukua hatua gani? Utamuacha au utaendelea naye?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina miaka 28 ila Nina tatizo LA kupenda wanawake watu wazima nikipata msichana mdogo nahis kuto enjoy mapenz na wamame wenyew ninao watamani wawe vibonge sasa sijui Nina tatizo la saikolojia mana...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Wadau nilibahatika kutembelea nchi fulani kwa mwaliko wa rafiki zangu huko. Kimsingi nilijighalimia nauli ila wao walinipatia sehemu ya kulala na kula ilikuwa juu yao. Basi bana , katika pita za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MWANAMKE ZINGATIA HAYA WAKATI WA KUOMBA PESA KWA MWANAUME Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilipokua kijana wa miaka 15 nilijiapiza kutofanya mambo kadhaa mahususi kabisa katika maisha yangu na sasa nina 35 sijavunja kiapo changu binafsi. Kuamua kutofanya mambo haya ni uamuzi wangu...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Bado sijaamka Asubuhi hii naanza kupatwa na Majaribu, Jirani yangu wa kike Chumba cha pili tu hapo kanigongea Nimefungua mlango nikakuta kavaa kanga moja tu, bila salamu kaingia mazima mpaka...
9 Reactions
25 Replies
6K Views
Ila sisi wanaume tunakua tunalaumu bure na kujiskia vibaya tukikataliwa papuchi na wanawake. Imagine wanawake wangekua hawakatai kila anae waomba papuchu wanampa tuu? Yaani ukiomba mke wa flani...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Zawadi gani inafaa kumpa mama Mzazi wa kitanzania kumshukuru kwa mchango wake mzuri kama mzazi. Nasubiri maoni yenu wakuu
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Habari wakuu, Nimefika kazini mapema leo kama kawaida yangu, ili nipate kama nusu saa ya kupumzika na kutafakari na kupangilia kazi zangu za siku nzima... Sasa nikiwa katika kutafakari kuna...
5 Reactions
121 Replies
12K Views
Kama umeshindwa kununua gari nunua pamba kali ,kiatu kikali nguo za gharama Usinunue simu kali kama muonekano wako umechoka choka utaonekana umeiba au umepewa tu ushike au umenunua used kwa mtu.
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom