Pitia hapa uweze kuyatunza mahusiano yako

Pitia hapa uweze kuyatunza mahusiano yako

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,332
Reaction score
3,230
Wakuu habarini za mchana, leo napenda kuelezea kidogo tuu jinsi kukua kwa tecnolojia kunavyo athiri mahusiano mengi baina ya mwanamke na mwanaume.

Kama una mke, mume, mpenzi na kwenye simu yake anatumia app kama hitwe, badoo, thinder, nk. yako mengi hizo ni chache tuu wajuzi wa mambo wataongezea au anaingia kwenye website ya exotic, my friend huyo jua fika ni mdangaji.

Siku moja niliwahi ingia badoo nilichoambulia kila nikichat na mwanamke ananiambia hela yako tuu, huko exotic ndio wameweka na bei kabisa.
Nitarudi tena
 
Mwanaume akishakuwa na hela + usafiri lolote laweza kutokea wakati wowote


NB; kutokana na uzoefu wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom