Sijui nilikuwa wapi kulamba hii loly Pop
Uliyo zaliwa nayo mpendwa
Mbona hapa JF umetoka na wadogo zako mbalimbali?[emoji30][emoji30][emoji30]
Wewe unatafuta kulelewa tu_**Habari, kwajina naitwa jonas Nina umri wa miaka 33-40
natafuta mke wa kuoa.
Naishi Dar Kwa Sasa,
Mwanamke awe n'a miaka 36-42.
Sina ubaguzi wowote karibu sana,
Ni pm Kwa mawasiliano zaidi.**_
Kabla ya kusema zaidi (mimi sio ke lakini) naomba kujua neno UBAGUZI WOWOTE limesimamia jambo gani maana naona hapo umeshabagua umri._**Habari, kwajina naitwa jonas Nina umri wa miaka 33-40
natafuta mke wa kuoa.
Naishi Dar Kwa Sasa,
Mwanamke awe n'a miaka 36-42.
Sina ubaguzi wowote karibu sana,
Ni pm Kwa mawasiliano zaidi.**_
Mbona hapa JF umetoka na wadogo zako mbalimbali?[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nimetania tu mkuu!Itakua kuna watu wanapatia ujiko sehemu yangu ya siri eeeh??
Embu nifungue maskio na mimi hao wadogo zangu nkwatambue
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nimetania tu mkuu!