Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 315
Kuna hili suala la wanaume kugharamia sehemu kubwa ya maisha ya mwanamke na bado mwanamke anaendelea kugawa uroda Kwa vijana wengine na ikiwezekana vijana wenyewe hawagharamii chochote inauma sana.
Kwa Sisi tunaojitoa usiku na mchana kuhakikisha wachumba wetu wanava, Kula, lipa kodii, nywele nk halafu kuna watu wanaendelea Kula na mda mwingine kwenye simu uliomnunulia ndo anawasiliana na mabwana zake wengine au kwenye chumba ulipompangia ndo analeta mabwana zake hapo..inauma sana kufupisha story.
Hivi nyie mliwezaje kwenda kumtolea mahari?? Mlipata ujasiri huo wapi!?? Nilikuwa natamani sana kuoa na nilijua wanawake waaminifu wapo Ila mahusiano yangu ya nyumba yamebadilisha mawazo yangu kabisa kuhusiana na kuoa.