Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,445
- 5,110
Wakuu kuna jambo linanitatiza nahitaji mawazo yenu. Kwenye maisha yetu ya kila siku marafiki na wapenzi ni watu muhimu sana kila mtu kwa wakati wake.
Kuna wakati wote wanakuwa wanakuhitaji muwe wote labda kwa upande wa marafiki watataka mtoke mitoko ya kirafiki kama kwenda kunywa,muziki,kuogelea nk. Pia kwa upande wa mpenzi naye atakuhitaji labda kulana tunda,kutoka nk.
Kwa mfano, ikatokea rafiki na mpenzi wakakuhitaji kwa wakati mmoja, labda rafiki anataka mwende kupiga gambe na atagharamia kila kitu na huku mpenzi kasimama kidete anataka mwende mkalane tunda, Je katika hili wewe utakubaliana na mwaliko wa nani?