Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hili ni tukio ambalo kamwe halitafutika katika akili ya ubongo wangu. Nashukuru mpaka sasa nipo singo licha ya changamoto mbalimbali nazo kutana nazo kila siku. Issue yenyewe ilikuwa hivi...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Halo JF. Nimekutana na wakaka wengi maeneo tofauti wakidai kila akimpata girlfriend, basi tatizo la Mama mzazi wa binti kuugua ndilo linalowamalizia hela. Wanadai wananaombwa kuanzia shilling...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakuu. Mi bwana naomba niulize tuu hili swala la mtu from nowhere au hata kama ni mwanafamilia kung'ang'ania kutoa bikra ya mkeo ana maana gani? Whats so special kwamba mimi mwanaume...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Jamani wanajamvi hebu tukusanyike leo tiudiscuss hii mada kwa pamoja, ni kwa muda mrefu sana tumekua na mazoea kwamba ni wanawake tu ndo wanajiuza, mi huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja, kwani hii...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wananzego habarini. Baada ya kumaliza chuo nilikutana na msiba wa Mama yangu kipenzi, niliumia but Kazi ya Mola. Mwaka mmoja baada ya wanafamilia kuwa tumekaa kwa umoja na kuwa tumeanzisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana nilikuwa na jamaa yangu flani hivi tuliosoma wote College. Naweza kusema tulikutana kama bahati tu kwa sababu tangu tumalize mafunzo yetu hatujawahi kuonana. Ni yule kijana ambae baada ya...
16 Reactions
27 Replies
4K Views
Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae... Je Tanzania kuna wanawake wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hili suala nimeliwaza sana kuwa linaweza kuwa mtihani mkubwa katika maisha na gharama ya maamuzi yake. Ndugu zangu nifahamisheni.tumetoka nyumbani mimi,mke,mama,baba na mtoto tunavuka...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Sijui niko peke yangu au kuna wenzangu kama mimi? 1. Mwanamke kunivalia magauni makubwa na sketi ndefu hapana aisee. Nimesha acha wengi wenye itikadi hizi... 2. Mwanamke kila wakati anasali...
29 Reactions
141 Replies
12K Views
Habarini wakubwaa Kwanza kabisa mm bado sijaowa! Kuna binti flan nafikiria kuowa! Ana tabia nzur ila sasa! Shida ni kwamba familia ya kwakoo! Wanazaa watoto wa kike tu! Cases zinazofanana 1...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu... Ni Hivi, Mwaka Jana Nilifanikiwa Kula BimDada Mmoja, Tulianza Kwa Kuzoeana Sana In A Week Tu Na Tukaaminiana Hatari, Nakumbuka Ilikua Siku Ya 2 Tu Kabla Nimjuee Akaniomba Tsh Laki 1...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tumegombana sisi, kaamka kwa hasira, alikuwa ananyonyesha mtoto nikamwambia niachie mtoto. Sasa mtihani mtoto analia anataka kunyonya. Bado kidogo na mimi nilie sikujua nifanyeje? Nikawaza nimpe...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Wakuu, leo naandika mada fupi sana baada ya kuona thread ambayo mdau anasifia six packs n.k. Nitaweka iwe fupi sana kuliko kawaida yangu. Kama kweli uanataka ufunge ndoa ambayo ina nafasi kubwa...
29 Reactions
92 Replies
9K Views
Wadau heshima kwenu na kwa wale wanaofurahia mwaka mpya wa kizungu 2020. Siku moja nilenda kumtembelea kaka yangu anaishi Dar es salaam pale wanaita Mtoni kwa azizi, yule kaka alikuwa amepanga na...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
"Mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa mwanaume na siku zote mvuto wa mwanamke au hamasa juu ya mwanaume uwa ipo kwa kipindi chote ila kinachotofautisha hali ya upendo ya mwanamke kuvutika na...
2 Reactions
19 Replies
9K Views
Hello!! Habari?? Hivi watu wanaotumia platform hii kutafuta wapenzi waume/wake hasa wale wanaotaka kufikia kabisa kwenye malengo ya juu kimaisha Ndoa?? Wanakuwa wako serious kweli?? Mbona...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninasisitiza tuu! Naona kuna tofauti kubwa sana kati ya Mwanaume na Mwanamke katika suala la usafi, sina maana kuwa Mwanaume awe mchafu lahasha, ninamaanisha Mwanamke awe msafi zaidi kuliko hata...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Wataalamu sasa wamebaini kwamba, wanawake wasiotumia kondom wakati wa kujamiiana, huwa katika nafasi kubwa ya kutopata sononi au msongo wa mawazo. Lakini pia, nafasi yao ya kufanya majaribio ya...
12 Reactions
62 Replies
16K Views
Kwamajina naitwa Nasibu nna age ya 26,elimu bachelor ya education pia ya dini ipo,natafta mwanamke wa kuoa ila awe navigezo vifwafavyo .muislam .mwenye kuipenda stara ama hijabu zakisheria .umri...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kabla sijaowa nilikuwa nawalaumu sana wanaume wenye michepuko nikiwaona kama wauwaji wanaonyanyasa wake zao, lakini baada ya kuwa kwenye ndoa kwa mwaka mmoja na nusu naomba kuunga mkono hoja...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom