Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Una mahusiano na mwanamke then anakwambia ex wake anamsumbua sana kwa simu. Unamwambia block namba yake na uifute kwa simu lakini yeye anaibadili jina nakusave la kaka yake. Kisha unagundua...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
yaani unahudumiwa vizuri, unagegedwa vizuri... hadi unatoa milio yote ya simu mpaka unaikimbia dushe bt bado unataftwa na x aliekuacha kwa kukudhalilisha vibaya unarahisika na kumcheat mwenza...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan. Mme wangu siku hiyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban Nimefika...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Wadau karibuni tupeane visa, na mikasa tunayokutana nayo kwenye ndoa zetu. Tupeane hints za kutaka kuoa, maana kuna changamoto kubwa katika ndoa zetu za mwendo kasi kuvunjika ndani ya muda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Wasalam. Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, Mimi ni Kijana wa kiume, Nahitaji Mwenza ambae Mungu akijalia aje kua mke wangu Vigezo 1. Umri miaka 18 mpaka 28 2. Elimu Kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Habari wana MMU, Baada ya kuona kuwa kumekithiri matukio kama, mauaji,vipigo,kufokewa,kutukanwa,kudharuliwa kwa baadhi ya watu nimekuja kugundua yafuatayo Hasira ina hasara kubwa sana...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuitwa baba si mchezo... Ina maana majukumu yote ya familia yanakusubiri wewe. Watoto kula Watoto kuvaa Watoto kwenda shule Watoto kutibiwa Kuhudumia mke Kuhudumia wakwe Kuhudumia wazazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomben mawazo yenu Nimeamua kwa dhati na kwa moyo mmoja kuachana na mme wangu Ila bado sijamwambia Wala sijataka kushirikisha mtu. Nachotaka niweke mambo yangu sawa kwanza Mme wangu sio mkorofi...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Habarini za mda huu? Niko hapa ili tupeane maalifa mbali mbali ambayo yanaweza kutusaidia kujenga na kubomoa pia kama inawezekana. Twende kwenye msingi wa mada kwa wataalam naomba kufahamu...
3 Reactions
140 Replies
21K Views
Mimi ni >Nina miaka 27 >Mrefu kiasi 5‘6” (futi 5 na inchi 6) >Elimu kidato cha sita >Sina mtoto >Ni fundi muashi/uwashi >Mlongo wa kisiasa ni muafidhina >Dini ni muislam Mwanamke ninaemuhitaji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI ZENU WANA MMU? Bila kupoteza muda naomba nieleze kilichonisibu mpaka kuja huku. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nimeoa na mke wangu nampenda sana. Sasa wiki kama 4 zilizopita...
4 Reactions
195 Replies
24K Views
Habari zenu wakuu, leo buana nikiwa nimekaa zangu ofisini mara ghafla likaja wazo ninamfanyia nini babe wangu japo hata kidogo ila mradi kizawadi. Baadae nimendelea na majukum saa tisa ikafika...
18 Reactions
43 Replies
4K Views
Naleta mrejesho wadau yule mwanamke alyedai ananipenda saivi ananiambia tuwe marafiki, na mm nkamjib mm urafik siwez, et akanijib kama huwez mmoja akubali kuumia namm nkamjib mimi nipo tayar...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Unaposema fulani ni rafiki yangu,huwa unamaanisha nini? Anakusaidia kwenye shida Anabadilishana na wewe mawazo tu Anakupiga mizinga tu Anakusaiia mikopo midogo midogo Anakupa ushauri wa busara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MI NI MWANAUME LEO NAWAPA SIRI ZA MWANAUME Ambae Anataka Akuchezee Afu Akuache Yuko Ivi 1-Siku Yakwanza Mtapoenda Kufanya Ngono Atagalamia Kila Kitu, Ila Akisha Kukojolea2 Kisha We Ukaenda...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
Wanajukwaa habari zenu, Nmeamua kushare hii hasa kwa nyie dada zetu msiokuwa na shukrani. Binafsi mimi huwa nagharamia kwakwel madem nlodate nao lazima wanisifie kwa hili nipo vzr. Na kimchepuko...
10 Reactions
108 Replies
9K Views
Nashukuru wadau, kwa sasa zoezi limesitishwa. First come First Served Asanteni sana. Muhusika anadeal na dada aliyejitokeza kwa sasa. Naomba niwe dalali/kuwadi leo. A good friend of...
0 Reactions
6 Replies
820 Views
Huku nchi nyingi za Afrika zinapofanya mila ya ukeketaji wa wanawake,nchini Rwanda hali ni tofauti,sehemu nyeti haikatwi badala yake hurefushwa hadi kufikia urefu wa kidole cha katikati. Mila...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
[emoji3532]Wanawake wenye umri wa miaka 18 hadi 22 wana mapenzi ya kweli. [emoji3532]Wanawake wenye miaka 22 hadi 24 wana mawenge. [emoji3532]Wanawake wenye miaka 24 hadi 27 wanajitambua...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Hii imetokea kwa mmoja wa ndugu yangu aisee...siku ya kwenda kumvisha pete mchumba wake watu walishangilia sana upande wa mwanamke,kumbe kule kushangilia wanafurahi bomu la atomic linawatoka...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Back
Top Bottom