Walio kwenye ndoa nisaidieni

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
410
888
Habarini wakubwaa

Kwanza kabisa mm bado sijaowa!
Kuna binti flan nafikiria kuowa! Ana tabia nzur ila sasa! Shida ni kwamba familia ya kwakoo! Wanazaa watoto wa kike tu!

Cases zinazofanana

1: kuna jirani yangu hapa kitaa, mama yake alizaa watoto wa kike tu! Na vizazi wa watoto wa kike nao wamezaa watoto wa kike tu!
Huyu mwenyewe aliyenipa hii habar baada ya kuhoji! Na yeye kaolewa na wanaume wawil tofauti!

2: pia kuna dada aliwahi kuolewa kwetu , alizaa watoto wa kike tu!
Na familia ya kwakoo hapakuwa na mtoto wa kiume!!

3: Huyu binti ninaye mfikiria kuowa! Familia ya kwako kuna mdada anazaa watoto wa kiume

Sasa wakubwa baada ya kupata senario hii nikawaza! Huyu naye si atafa hayo yanayotokea kwenye familia yao!!

NISAIDIE KWA HAYA! NIPENI MWANGA KWA HILI

Mwisho!

Eeh Mungu nirehemu kama nimekufuru! Nisamehe na kizazi changu! Kwa maneno yangu na mawazo yangu!Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzaa watoto wa kike pekee ni itilafu ambayo inapatikana kwa mwanaume na sio mwanamke.mwanamke yeye anapokea tu na mwanaume anatoa.

Kitaalamu wataalamu wanasema ya kuwa mwanaume anapotoa mbegu basi kama zina sifa ya kike (s x) zitakuwa hazina speed na kama ni za sifa ya kiume (y)zitakuwa na speed.

Sifa za sperm x ni kuwa hazina speed kali lakini zinaishi kwa muda mrefu zikiwa njiani ndani ya uke.
Sifa ya sperm y zina speed kali lakini ni nguvu za soda zinaishi kwa muda mfupi njiani ndani ya uke.

Sasa basi maana yake ni kuwa mwanaume anatoa mbegu za aina mbili,yani mbegu zinazoweza kutunga mtoto wa kike na mbegu zinazoweza kutunga mtoto wa kiume.

Sasa inapotokea mwanaume mbegu zake ni za kuzalisha mtoto wa kiume(y) inatakiwa ajue ya kuwa afanye tendo la ndoa siku ile ya ovulation ambapo mwanamke yai linakuwa limepevuka barabara.

Hii itasaidia mbegu zinapotoka tu kwenye uume kwenda moja kwa moja kwenye yai kwa ssbabu lipo tayari na hzo mbegu zina speed.
Lakini mwanaume unafanya tendo siku tatu kabla ya ovulation alafu sperm zako ni y zina speed lakini hazina maisha marefu manake zitatoka kwa speed sana ila kwa bahati mbaya zikifika kwenye uzazi yai bado halijapevuka itabidi asubiri yai.kitendo cha kusubiri kwa siku mbili huyu hana maisha marefu ataharibika tu huyu.matokeo yake yai likija anakuta sperm zimeharibika.

Ila sperm x sasa ukifanya siku mbili kabla ya ovulation sperm zinaogelea taratibu lakini zikifika kwenye uzazi zitaweza kukaa hapo kwa muda mrefu mpaka ovulation ikishafika na sperm ziko pale mimba inatungwa.

Shida ni kuwa huwenda mtu sperm zake ni spwrm x za kuzalisha watoto wa kike tu na hzo sperm zenyewe sasa hazina ubora na hazijakomaa kuweza kukaa siku nyingi,hapa pana shida kidogo inahitaji huduma ya ziada.

Kwa hyo angalia sana kuzaa wa kiume ama wa kike ni MATATIZO YA MWANAUME.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakubwaa

Kwanza kabisa mm bado sijaowa!
Kuna binti flan nafikiria kuowa! Ana tabia nzur ila sasa! Shida ni kwamba familia ya kwakoo! Wanazaa watoto wa kike tu!

Cases zinazofanana

1: kuna jirani yangu hapa kitaa, mama yake alizaa watoto wa kike tu! Na vizazi wa watoto wa kike nao wamezaa watoto wa kike tu!
Huyu mwenyewe aliyenipa hii habar baada ya kuhoji! Na yeye kaolewa na wanaume wawil tofauti!

2: pia kuna dada aliwahi kuolewa kwetu , alizaa watoto wa kike tu!
Na familia ya kwakoo hapakuwa na mtoto wa kiume!!

3: Huyu binti ninaye mfikiria kuowa! Familia ya kwako kuna mdada anazaa watoto wa kiume

Sasa wakubwa baada ya kupata senario hii nikawaza! Huyu naye si atafa hayo yanayotokea kwenye familia yao!!

NISAIDIE KWA HAYA! NIPENI MWANGA KWA HILI

Mwisho!

Eeh Mungu nirehemu kama nimekufuru! Nisamehe na kizazi changu! Kwa maneno yangu na mawazo yangu!Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
bullshit.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nina ushuuda mkubwa sana kuna mama mmoja alizaa watoto wa kiume wengi sana na wakike wachache lakini matokeo yake watoto wa kiume hawana msaada hata kidogo wanadiriki kumwambia mama yao kuwa wewe mama huna akili mara huna digrii kiukweli hawana msaada na mama yao lakini watoto wa kike wamekuwa karibu sana na mama yao isitoshe wana msaada mkubwa sana, kwa iyo watoto wakike usiwanyanyapae wana umuhimi kuliko hao wakiume unaowataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom