Kiukweli wanawake wife material wamenishinda

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Sijui niko peke yangu au kuna wenzangu kama mimi?

1. Mwanamke kunivalia magauni makubwa na sketi ndefu hapana aisee. Nimesha acha wengi wenye itikadi hizi...

2. Mwanamke kila wakati anasali, mara maombi, sijui kwa mchungaji gani huko hapana kwakweli. Wengi wanaokuwa na swaga hizi hatumalizi mwezi

3. Mwanamke asiyekunywa pombe, kiukweli mnisamehe sana

4. Mwanamke mwenye mipango kibao kichwani, sijui biashara, hashiki moja yeye ni mbili tumeshindwana mazeeee.

5. Mwanamke aliye serious na maisha mimi hapana. Mtu mgumu, mjuaji apotelee mbali

Ndivyo nilivyo!!
 
Huyo ndo jirani yangu mimi.
Hataki mambo ya kuumizana vichwa yeye anataka kama nguo uvae auone mzigo huu hapa live haga lionekane, ka guu la bia alione, msaidiane kulipa kodi papichulo, kwanza yeye ni atheist atakuwaje na bint muombaji?
Yeye ana biashara mwanamke wa kumuumiza na kumpa sitiless za mabiziness yake hamtaki.
Wooooi muacheni jirani yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo number 3 mkuu tema mate chini. Ushawahi kutana na mwanamke mlevi.
Aisee kuna dada alikua jirani yangu ni mlevi wa kupindukia. kunywa lazima anywe bar, hawezi kunywa getto. Na lazima alewe mpaka azime. Yani ilikua ni aibu. Mdada mzuri tu aliesoma lakini kila siku boda inamuokota huko inakuja kumbwaga kibarazani kwake hapo kajikojolea na kujitapikia kabisa.

Mkataa pema. Wewe komaa na slay queens wife material wataolewa na waoaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mwanamke mwombaji anawezaje kuwa na mahusiano na mtu wa aina yako? Inakuwaje yaani hadi muingie kwenye mahusiano? Au unawazungumzia wale wa kukanyaga mafuta? Yaani yeye anazunguka kwa manabii kukanyaga tu mafuta mengine hana habari nayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hao ndiwo anaowazungumzia. Vinginevyo anataka micharuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom