Habari wakuu? Nimeona niwawahishie taarifa motomoto kabla haijapoa, Leo asubuhi baada ya mishe zangu kufeli nikapendelea kwenda kupoteza muda kwa rafiki yangu ambae ni mganga wa kienyeji, nje...
Kuna manzi nimekutana naye leo jioni hii saa moja hapa ofisini kwangu, nikaomba namba kanipa baada ya sms mbili tatu katiki kaingia kwenye laini.
Nikamuomba tukutane nikishafunga ofisi saa tatu...
Saikolojia inatuambia!
Watu huishi kwa misingi ya chimbuko!
Muasisi wa jambo flani hurithisha tabia kwa wafuasi wake kizazi hadi kizazi!
Mfano;
Chimbuko la wahehe kujinyonga lilianzishwa na...
Wanawake wapambanaji huwa hawasherehekei valentine
Wengi wako bize na mambo ya msingi ya maendeleo ya taifa na familia zao. Ila wale vicheche sasa,ambao sio wapambanaji kimaisha au kwa lugha...
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu
. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake...
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa,naomba huu uwe ni uzi maalumu kwaajili ya ku-share mambo muhimu yanayohusu mahusiano na mambo mbalimbali yanayohusu valentine (ikiwa ni pamoja na historia ya...
Ni juzi tu nilikuwa na Joyce,
Ambaye kwenye list wewe ni Joyce wa5 kukugegeda.
~Jesca nilidum nawe nikakuahidi kukuoa, ila umbali ulitutenganisha, pole sana
~Josephine mpo wawili na sijawaacha...
Siku girlfriend wako akiamishwa kikazi, shule, kozi au kwa ndugu my brother hata kama mna wasiliana kwenye simu tegemea mambo haya:
Mawasiliano kupunga
Kila siku ubize kuongezeka
Kupokelewa simu...
Wadada wa Kiaftika hawajiamini na hupenda kujilinganisha na wa kizungu. Kuvaa mawigi, kujichubua, kujkondesha nk.
Je Dada zetu wanajiona hawafai dhidi ya wanawake weupe. Mimi naona Dada zetu...
Wadau naomba mnishauri,nifanye nini?baada ya kuwa kwenye uhusiano na mpenzi
kwa miaka mitano na baadae kuamua kumwacha kwa jili ya ulevi wake wa kupitiliza
nahisi au najikuta simwamini na wala...
Mim binafsi vitu vyote major ambavyo nimenunua,kibubu ni Bi mkubwa.
Mimi mwenyewe sijiamini kuweka hela kwenye account zangu,nampa bimkubwa anaweka kweny Acc yake
Weekend nimeenda mtembelea...
Morning love,
Happy Valentines🥰😘😍😍 Nakupenda sana, through wewe nimejua why watu hujiua kwa mapenzi, watu hukonda kwa mapenzi, watu hulilia mapenzi, najua huwezi kuamini haya lakini haiondoi...
Ni masiku kadhaa tangu nijiopolee huyu mtoto wa kisukuma,
Wajihi wake ni mrefu kiasi, black aswaa, hapo kifuani kushuka chini kumejitenga kiasi kwamba kabla ata ya kummenya kila nilipokuwa...
Baada ya kuharibu wik iliyopita kwa mara ya kwanza after 6 yrs ya mahusiano mbalimbali, nmekosea timing bint kaona msg za wenzie wawil, ingawa hao nilishaachana nao mda mrefu sana ni vile tuu mim...
Nina swali la kizushi tuu kidogo,Moja ya matukio ambayo wanawake hukumbuka sana kwenye mapenzi ni kitendo cha kutoa bikra na inasemekana kuwa mwanaume aliyemtoa bikra hukumbukwa mno
Na pia...
1. My name: Amiry Muzamelly.
2. Age:23.
3. Language: English,Arabic,Swahili.
4. Religion: Islam.
5. My color:Grainy black with gravity.
6. Work: Religious seeker.
7. Height:Tall Normal.
8. Child...
Nimezunguka sana Nchi nyingi Za Africa , nimegundua kwamba, wanawake wa Malawi na Zambia hawana mvuto kabisa. Hawako romantic kabisa, sijui kwanini. Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.