Sitasahau Nilivyonusulika kuoa Valentine Day

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Hili ni tukio ambalo kamwe halitafutika katika akili ya ubongo wangu. Nashukuru mpaka sasa nipo singo licha ya changamoto mbalimbali nazo kutana nazo kila siku. Issue yenyewe ilikuwa hivi...

Nakumbuka ilikuwa ni siku ya valentine mwaka juzi Kama sikosei ilikuwa ni saa 10 jioni. Nilipigiwa simu na classmate wangu Siwema niende kwao kuna hesabu nimsaidie.

Kwa kuwa kwao napafahamu, na huwa naenda mara kwa mara. Nikakanyanga mguu hadi kwao. Nikabonyeza kengele nikafunguliwa na mlinzi, nikaingia.

Usilolijua ni usiku wa giza. Kumbe mama Siwena na babake wamepanga siku hiyo waniozeshe mtoto wao kwa nguvu.

Nilipofika nikapiga hodi . Siwema akaitikia "Ingia ndani" nikasita maana si kwa ukimya ule...anyway nikaingia ndani, sebuleni kwao. Nikakaa kwenye sofa ya ngozi ya ngamia kutoka Dubai. Khadija akatokeza sebuleni.

Baada ya Salamu, tukapiga stories mbili tatu, badae akafata kitabu chumbani, akatumia kama dakika sita hvi. Badae akaniita chumbani nimsaidie kutafuta kitabu eti akioni.

Ile nimeingia ndani, Siwema alinivuta nikaangukia kitandani, akaniangua juu yangu. Nikachanganyikiwa. Ile anaanza kusogeza mdomo wake kwenye mdomo wangu. Hodi ikapigwa...nikaganda kama sanamu, huku jasho jembamba likinitoka.

Kufupisha mkasa, aliingia mama yake na shehe pamoja na wanawake wawili na wanaume watatu nisiowajua.

Tukatoka nje, tukiwa tumeshikiliwa. Ile kufika nje, nikaanza kusikia talumbeta zinapigwa, wadada wanakatika, wamama wanacheza.
Kuangalia upande wa pili, vijana wanachinja ngombe na mbuzi.

Nikiwa katika hali ya kusitajabu. Nikakumbuka stori ya rafiki yangu Shafii alioa kwa mtindo huu. Niliomba kimoyo moyo nipate nguvu hata kidogo nipae niwaache watu woe kwenye mataa.

Nakumbuka nilikuwa nimevaa fulana nyeupe jinsi nyeusi na mkoti wa bluu. Tuliambiwa tukae chini kwenye mkeka ambao tayari ilikuwa umeandaliwa. Moyo wangu ulikuwa unadunda sana maana sijawahi kuoa.

Ile shehe anajiandaa kukaa....niliruka kama ndege vile, nikaanza kukimbia uelekeo wa geti.."Mlinzi kamata huyo" alisikika mama Siwema akisema. Sauti yake naijua.

Bahati nzuri geti lilikuwa wazi, nikafika pale getini, mlinzi akawa ananifata ili anikamate....nikaruka ile staili ya "He he he he heeee" ya wimbo wa Yope " nikawanimemuuza mlinzi, nikapita getini.

Maskini Mimi, si koti langu likanaswa na komeo la geti, nikaona sio mbaya...nikavua koti fasta na kuliacha. Nilitoka nje kasi kama mwizi vile...nikakamata Barbara ya mtaa, kidogo nigongwe na gari la soda... Ambalo badae nikiambiwa lilikuwa linapeleka soda kwa kina Siwema kwa ajili ya sherehe ya harusi.

Ni miaka miwili tangu hili tukio linitokee. Huwa kila ikikaribia valentine nakumbuka huu mkasa nabaki nashukuru tu....maana sasa hivi ningekuwa kwenye ndoa na ndoto zangu zingefutika.

Vijana wenzangu mlio-singo nawashauri muwe mskini na valentine hii msije oa bila kupenda.

KingNebu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa kama hujamalizia stori...maisha ya huyo mwanamke na wew baada ya kuruka ...sherehe iliendeleaje..

Stori ya kubumba.! Ahsantee lakinj kwa kutumia muda wako kutubumbia stori isiyoelimisha wala kusaidia lolote

Happy dude
 
Siku ya valentine day asili ni kutoka dola ya warumi ambapo watawala was dola ya kirumi walikua na fikra ya kueneza dola yao duniani kote hivyo kuuteka ulimwengu na kuitawala dunia.Nguzo kubwa ya kufanikisha lengo ilo ilikua ni kuwatumia vijana hivyo vijana hawskutakiwa kuoa na badala yake walipaswa kujiunga na jeshi.Hawakutakiwa kuoa kwasababu walipaswa,kua huru kutumika kwenye dola (kwenda vitani kupigania nchi) tofaut na ambavyo wangeoa.Vijana wengi walijikuta wakifanya ngono zembe kihorera bila ndoa kitu kilichomwinua padre valentine kupigania vijana waoe kwani kufanya ngono bila ndoa ni dhambi na kitu kisicho kubalika mbele ya Mungu.Kwasababu watawala was dola ya kirumi hawakutaka vijana wafunge ndoa,padre valentine akaamua kuanzisha kampeni ya kuwafungisha ndoa kwa siri kwenye makatakombe(maandaki chini ya kanisa ambako Luna sehemu za ibada za watu wachache).Baadhi ya watu walifichua siri iyo hivyo padre valentine alishikwa na kuuwawa kama mfia dini.Ikaenea katika kanisa na nchi za magharibi na hata duniani kote ambapo wanakanisa wanamkumbuka mt.padre valentine kama mtetez wa kanisa kwa watu kufunga ndoa.Baadae ilipokelewa na watu hats wasio na imani ya kikristo kwa maudhui mengine kabisa kwamba ni Siku ya wapendanao hats kwa wasio wanandoa,ilimradi wanapendana kitu ambacho ni kinyume cha malengo ya mfiadini wetu padre valentine alietaka watu wafunge ndoa badala ya kua na vimada....Happy Valentine day Wanandoa wote!!!!!!!!!!!!!!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom