Morning JF!
Kuna hizi nyumba zina wapangaji wengi, kusema ukweli zina chengamoto nyingi zaidi.
Hususani kama kuna mchanganyiko wa walioko kwenye ndoa na walio single. Waliopo kwenye ndoa hawana...
Ukipiga hatua tu kimaendelea,kielimu,kimaisha,kibiashara,kiuongozi, kimuziki n.k wengi wanakuwa wanakuchukia na ikiwezekana wengine wanakutafutia zengwe ili mradi tu hatua uliyoifikia ionekane...
Wakuu,
Hivi Kwenye Life yako Ushawahi Kumgharamikia Demu Hadi Ukajishangaa Mwenyewe,,
Yaani,
Hadi Unajiuliza Ni Mimi Kweli Au???😂😂
Hebu Tupe Mkasa Ulimgharamikia demu,mchepuko wako kwa kiasi...
Wanawake bana, sometimes wanakuwa na makusudi mabaya sana. Mtu anajua kabisa yupo kwenye siku zake za mwezi-ananyesha lakini anaweza kuitikia appointment ambayo ina kila dalili za kuombwa mzigo...
Habari wakuu
Katika maisha ya familia, ndoa na mahusiano ya kimapenzi kuna mambo mengi mazuri na mengine yavunjayo moyo. Moja ya mambo yanayoweza kuwa ya kuvunja moyo ni pale mzazi mmoja anagundua...
Kwa dalili hizi nahisi jamaa amependwa. Na sijui kama bado hajapewa mzigo.
Dalili zenyewe ni hizi.
1. Mke wangu haishi kusifu maisha ya jamaa, japo Ni ya kawaida tu.
2. Haishi kusifia michepuko...
Salaam zenu wapedwa.
Bila ya kuwachosha kuna tukio nimelishuhudia usiku wa kuamkia leo, mjane afukia bata pembezoni mwa ukuta wa chumba chake. na tumepata kuona tukio hilo baada ya vishindo...
Aisee kweli maisha yako kasi sana.
Mimi nikikukuta kwa dada angu nakutoa na rungu maana huu ni zaidi ya udumavu wa mwili na akili.
Zamani wanamume ilikuwa kupata mke mpaka "uue SIMBA", upigane...
Kwa utafiti wangu mdogo tu,wale wanawake wenye utundu mwingi ndani ya 18 ndio wenye uwezo mdogo wa kumfanya mwanaume atajirike au ayamudu maisha ipasavyo.Ila wale wasiokuwa na utundu au wasiopenda...
Mi natumia UBER na BOLT baada ya biashara ya taxi kuharibiwa na mitandao. Kuna siku nimepata request ya kumchukua mteja sehemu fulani usiku wa manane. Baada ya kufika eneo la tukio nikamkuta...
Asallam aleikhum! Binafsi nmekuwa na tatizo au jambo ambalo sielewi sababu yake ni nini. Nimekuwa nikishangaa sana kusikia kuna wanaume wanapenda papuchi kavu.
Nashangaa unaipendaje kavu? Binafsi...
Wakuu
Hahaha![emoji28] acha tu nicheke kwanza
Gf wangu jana alinambia kuwa bundle lake limeisha na sms alontumia ndo ya mwisho.
Mie nikamjibu "Poa ngoja nitoke mishe ntakuwezesha"
Lakini kabla...
Jamani Mnaweza kuhisi natania hapa ila kwa kweli upweke umenizidi, bora hata ningekuwa na ka sress kidogo ila sio huu upweke....
Wadada naombeni kampan zenu nimechokaa, Hizi ratiba za kazi nazo...
Wakuu Habari!!
Kuna Msichana mmoja nipo nae kwa mahusiano sema Kuna faulo moja nimefanya ya kumuonyesha nampenda sana na hii naona inapelekea kunidharau na kuniona si kitu mbele yake nimekuja...
Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake 😂.
Hii procedure ni famous sana India, Tz...
Ananipenda lakini anaogopa kuniambia anaishia kusema kwa Rafiki zake,
Nimeshtushwa sana baada ya kusikia hii leo kutoka kwa Rafiki yake kipenzi aliyemtuma aje aniombe namba zangu za Simu...
Huyu Binti wa chuo (jina kapuni) kaingia kibra wiki ya pili sasa,
Nimeshampanga mambo sawa ata yeye anaonyesha kutamani sana kukutana na mimi nimchakate,
ila tatizo ni kwamba ana period...
Habari za asubuhi wana MMU, Najua mpo katika harakat za kusaka chapaa lakin sio vibaya tukishauriana hapa. Kiukwel nilikuwa na mwanamke natoka nae zahidi ya miaka tano na nilimtambulisha kabisa...
Ni hivi unakuta mwamke anapiga simu kwenye daladala babe mambo mbona hujaja jana namie umeniacha na hamu zangu??
Kweli mkiachwa na wanaume wabaya sasa hapo umesemaje?? Unajiona nivizuri eh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.