Mwanamke unatakiwa uwe msafi sana

goldcall

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
394
535
Ninasisitiza tuu! Naona kuna tofauti kubwa sana kati ya Mwanaume na Mwanamke katika suala la usafi, sina maana kuwa Mwanaume awe mchafu lahasha, ninamaanisha Mwanamke awe msafi zaidi kuliko hata Mwanaume kutokana na maumbile

Unakuta Mwanamke analeta kiss halafu mdomo unanuka, aseeh. Mwanamke mzuri lakini unakuta hujajitambua, kuna halufu inakuja na kupotea kama ubwabwa hivi. Usikute na shule amekwenda, halafu linasisitiza ndoa, na vizinga, pumbavu, futa namba.

Yalinikuta hayo wadau, first date, unakutana na mtu, nguvu za kiume zinaishia hapo, Wanawake jamani hasa wale wasio jielewa, hebu kuweni wasafi bhana, hizo nyeti zenu, hata zilivyo kaa, zinaitaji usafi, vitu vyeupe na harufu kari, mtatulaumu bure, kuwa hatuna nguvu za kiume, mimi hapo siwezi kukaa, natoka nduki, na gemu linaishia hapo, aseeh!
 
Usafi kwa mwanamke ni kitu muhimu sana kwa kweli

Nilishawahi kupungukiwa nguvu za kiume kwa mwanamke sababu nilikutana na harufu isiyo kuwa ya kawaida.
 
Usafi wa mwanamke unaanzia kufundishwa na mama nyumbani,hivyo wakati inapofikia umri wa kuolewa ina maana anaelewa ABC zote za usafi wa mwili wake,sasa kama kuna kastep amekaruka hapo ndio shida inapoanzia.Hapo maana yake inabidi umuoe hivyohivyo halafu ukamfudishe akishakuwa ndani,kitu ambacho ni kigumu sana...
 
Point ya msingi ni.."harufu mbaya ina maliza nguvu za kiume"

Lakini pia na sisi wanaume inabidi tuwe wasafi vile vile..
 
Dawa ya mtu kama huyo ni kumwambia ukweli ili kumsaidia,maana wao kwa wao huwa hawaambiani ukweli
 
Yani mleta Uzi kule kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara hupati hata ujumbe wa nyumbani kumi 10 yani unakanyagia tunda


But it's true ma boy
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom