Natafuta mwanamke anaetaka ndoa

Princezo

Member
Jul 22, 2018
5
2
Kwamajina naitwa Nasibu nna age ya 26,elimu bachelor ya education pia ya dini ipo,natafta mwanamke wa kuoa ila awe navigezo vifwafavyo
.muislam

.mwenye kuipenda stara ama hijabu zakisheria
.umri usizidi 30 usipungue 22

.alyetayari kwa sasa kuingia ndoani nasokudate
.asopenda kusema nitumie

NB:km upo willing njoo inbox tutajuzana powa 0711937610!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu msimu wa valentine tutaona mengi, daily matangazo yakusaka wake bt mirejesho yakupata/kukosa hawaleti
 
Back
Top Bottom