Sijakataa sote ni malijali hapa mjini sote tunaweza pita na mtu yoyote hata awe makini kivipi.
Sasa basi kuna mwenzetu yamemkuta kaleta ile kauli ya “tafta mnyonge mmegee” kapita na pisi ya msela...
Imefika steji wazazi wengine hawajui hata kwanini walizaa, lengo lilikuwa ni starehe tu mara anatokea mtoto. , yani hata ndege naona wanatuzidi akili maana wao huhakikisha wamejenga kiota na...
Mambo zenu wakubwa shikamoo!
Kama mnakumbuka takribani miezi miwili mitatu nilikuja hapa na thread ya kulia lia sijui heartbroken sijui nini mambo kibao yaani. Aliesema time heals all wounds...
Katika mchakato wa kutekeleza jukumu la malezi kuna changamoto nyingi lakini kila mzazi ampokeapo mwanae mikononi kwa mara ya kwanza huwa ana matarajio ya kukuza mtoto mwenye tabia njema. Imekuwa...
#SimuliziZa116 - Ilikuwa tarehe 5 Novemba 2019 tulipopokea simu ya msamaria mwema kutoka kata ya Nyehunge mkoani Mwanza ikieeleza kuwa; “Kuna mtoto mmoja hapa mtaani kwetu anayejulikana kwa jina...
..
Ilikuwa ni siku ya ijumaa, maeneo ya kariakoo.
Ni baada ya kumaliza kipindi cha mchana pale chuoni, nikaona niingie mjini kariakoo maduka ya chini kucheki nguo kadhaa kisha nigeuke mtaani...
******************************
NB: Uzi huu nimeupeleka pia JF DOCTOR kwa ajili ya msaada wa kitaalamu zaidi...LAKINI HAPA NIMEULETA KUPATA USHAURI WA EXPERIENCE...
*******************************...
Habari wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ili niweze pata ushauri toka kwenu.
Nimefahamiana na huyu binti tangu mwaka 2014, wakati huo akiwa bado ni mwanachuo na mimi nikiwa...
Maana hakuna namna, kila mdada sahiv anaangalia pochi ya mwanaume, mdada akinishobokea kimapenzi lazma nijiulize mara mbili mbili..what's her inner motive
Kama motive yake ni pesa...
Siku hizi ndo zimekuwa jehanam ndogo, wanandoa wanaishi kwa unafiki mkubwa, wengi wao hawapendani.
Wamo kwenye ndoa ila unakuta kila mmoja ana mchepuko nje ambao either anautimizia kila kitu...
Bali huzamishwa na Maji yaliyovujia na kuingia ndani ya meli, dedication kwa wote walioumizwa na wanaugulia, hivyo kuwa kama Meli ukiruhusu maji yaingie utazama, usiporuhusu utaelea, ...
Kunjaanii,
Time flies and days are numbered like ages...
Keeping in mind this year we have an election as a country, by blinking of na eye you'll be suprised October have arrived.
Leave the...
1. Wazazi Wapole(The Cool Cats)
Wazazi hawa ni wale ambao si tu wazazi bali washikaji. Unaweza ukawaambia kila kitu bila woga. Wanatengeneza bond nzuri na watoto wao na mara nyingi watoto wao...
Jamani ni huyu mrembo alikuwa anaitwa Carrythas alitokea kuuteka sana moyo wangu, sijui labda ni ushamba wangu au ni kitu gani kilinifanya nikajisahau. Ila kiukweli uliuteka moyo wangu. Nimekaa...
Mm ni kijana aged 26 namtafta mwanamke ambaye kweli anahitaji kuolewa na na sio vinginevyo elimu sio kigezo. Mengine mengi tutaelezana PM maana hapa siwez kuweka wazi sifa zote. Karibu Pm angalau...
Salaam wana jukwaa pendwa, nisiwachoshe twende kwenye mada.
Jana usiku majira ya saa 2 kasoro maeneo ya huku kwetu Gomz umeme ulikatika, sasa nikajaribu kumuuliza mmoja kati ya marafiki zangu wa...
Habari wanajamii
Moja kwa moja kwenye mada;
Tangu mwaka 2011 kuna binti nilikuwa nimemzimia sana, ila nilikuwa nashindwa kimwambia ukweli(domo zege) hasa ukizingatia huyu binti kadiri miaka...
Habari zenu
Mimi ni kijana wa miaka 36. Mnamo mwaka 1990 mimi na rafiki yangu Jose tuliingia katika kazi yetu ya uvuvi, ilikuwa ni tarehe 23 mwezi wa nne siku hyo kulikuwa na hali mbaya kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.