indundidotcom
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 235
- 231
Wananzego habarini.
Baada ya kumaliza chuo nilikutana na msiba wa Mama yangu kipenzi, niliumia but Kazi ya Mola. Mwaka mmoja baada ya wanafamilia kuwa tumekaa kwa umoja na kuwa tumeanzisha vimradi uchwara mzee akaijiwa na wazo la kuoa.
Haikutupa shida ila tatizo lilikuwa kwa mke mtarajiwa kwani alikuwa ni mdada aliyekuwa karibu yake akifanya kumfundisha fani fulani ambayo na kama ya Mzee.
Uchumba wao ulitupa maono ya tunapoelekea kwani alianza kumpa masharti na yeye anakuja kuyaimplement home.
Baada ya harusi kiza kikaanza kwanza mgeni akahitaji aoneshwe nyumba ya ziada ya familia akapelekwa kwa siri bila sisi kujua akakabidhiwa kama yake. Tukapoa but mwisho wa siku akaanza kuleta masharti kuwa hataki kuona watoto wa kiume nyumbani.
To cut the story. Huyu wa kambo hata kumwita Mama nilishindwa maana ameleta ugomvi mkubwa kwa kutuchonganisha wana familia na kuendekeza ushirikina na hadi leo mzee hakohoi ila to make leo nimehitimisha yule si mama yangu na kanifanya nitambue MAMA WA KAMBO SIO MAMA.
Sent using Jamii Forums mobile app