Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unatafuta mrembo mzuri humu jf alafu mnatafuta pori huko msituni ambapo hakuna binadamu yeyote zaidi ya wanyama na ndege, mnaji-lock down wenyewe hata kwa mwaka mzima, huku mkila mizizi, matunda...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo naomba niiwasilishe kwa mtindo wa swali kwani natamani sana kujua majibu ya hili. Je, nikimsamehe mtu ni lazima tuwe...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, wanajamvi, poleni na majukumu na utata wa swali la tiba ya CORONA. Naamini Mungu atasaidia... Cha msingi tuwe na imani tuombe sana na tufuate maelekezo ya wataalamu wa Afya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mengi katika mahusiano, wengine wanaanzisha mahusiano kwa sababu ya kupata kitu flani kutoka kwa mwenza wake Wengine wanaanzisha mahusiano ili wapate penzi tu, wengine Ndoa, wengine maisha...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari wana jf hususani jukwaa hili. Kwamara ya kwanza nimejitokeza kwenu lakini nitawasimulia machache kati ya mengi niliyonayo moyoni. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 sasa, mzaliwa wa...
9 Reactions
252 Replies
19K Views
Hello Members, Hongereni kwa kuendelea kukabiliana na Covid-19. Leo naomba niulize sijui nina moyo mwepesi au nina huruma sana, ila naona sio sawa kumblock mtu kwenye simu yako, iwe whatsap au...
7 Reactions
111 Replies
9K Views
Habarini wadau! Moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo hapo juu; Mume akihisi imelazimu kutalikiana na mke ambaye ni mjamzito, utaratibu ukoje (ukiwa una ujuzi wa maarifa ya kidini ya Kiislamu...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Tumeshuhudia jinsi ambavyo tatizo la Wanawake kutopata Watoto pale wanapowahitaji linavyotuumiza au kuwaumiza Ndugu Jamaa na Marafiki na hata wengine kukata tamaa lakini Bibi huyu wa Nigeria...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Mungu atuepushe na janga hili la corona, twende kwenye mada kuna hawa marafiki ambao wao hukutafuta kwenye Shida wakati ninyi si marafiki sana. Ila kuna wale mabest zao ambao...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano. Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi... Rangi Urefu Umbile Kipato Nini unamzidi...
17 Reactions
66 Replies
10K Views
Tupeni mrejesho maisha yakoje, maana wengine tunaogopa kujilipua. Tupeni moyo sisi tunaoogopa wanawake wa mitandaoni, Tumefikia hatua nzuri lakini bado niko kimachale sijaingia miguu yote...
1 Reactions
4 Replies
793 Views
Sikuelewa vizuri sahivi imefika zamu yangu nimeanza kuelewa kwa kueleweshwa kwa vitendo. Nimekua kwenye mahusiano miaka mitano na binti mmoja niliepanga kumuoa na sikuwahi kumpenda mwingine...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Mapenzi ya sisi vijana wa millennial banaa..!! Twende pamoja mwanaJF. Yaani ni vile khadija anaumizwa na muddy, na yeye anaenda kumuumiza abdalah..!! Unakuta Michael katendwa na Vailet, Duh...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari wakuu Girl Wangu kanambia ameamua kutoshirikiana na mimi kimwili tena hadi nimuoe, afu mwisho wa siku ananiuliza Mimi nnasemaje kuhusu hilo Me nawaza nimjibu kwamba yuko sawa maana mwili...
7 Reactions
78 Replies
7K Views
Kiukweli wakati nimepotea kidogo hapa jukwaani baada ya kutoka nchini syschelles nilikua busy sana na biasahara zangu, nilikua nikizunguka mikoa mbalimbali kwa ajili ya biashara zangu, wakati nipo...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi ndugu zangu,napenda kushare jambo langu binafsi katika maisha yangu ya kila siku. Sijajua ni tatizo au ni nini kwani tangu nikiwa bado mdogo kabisa(nikiwa shule ya msingi) sijawahi...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Nilipoona call yake kwanza sikuamini, tuliongea mengi sana nikaona sasa msichana kalainika kaingia kwenye himaya yangu, lakini mwisho wa maongezi yetu akanibomu eti nimpe laki tano atanirudishia...
16 Reactions
60 Replies
8K Views
Habari wana JF, ninatafuta marafiki ambao ni transgender(walizaliwa wakiwa na female secondary characteristics lakini ni jinsia ya kiume). Kama wapo wanitafute kupitia luqmanfeisal@gmail.com...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mshamba mmoja kutoka Buza sielewi sana mambo yanayoendelea downtown, hili neno nalisikia sikia miaka ya hivi karibuni likitumika kwa wadada wa mjini. Je, Slay Queen ni nani na ana sifa...
4 Reactions
55 Replies
14K Views
Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom