Je, ulitamani kupata nini kutoka kwa X wako lakini hukupata mpaka ile siku mnaachana?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kuna mengi katika mahusiano, wengine wanaanzisha mahusiano kwa sababu ya kupata kitu flani kutoka kwa mwenza wake

Wengine wanaanzisha mahusiano ili wapate penzi tu, wengine Ndoa, wengine maisha mazuri,
Wengine pia wanaanzisha mahusiano ili jamii iwaone kuwa na wao wako wanaishi na flani, wengine for their benefit, eg. kupewa gari au Nyumba na N.K

Je, ulitamani kupata kitu gani kutoka kwa X (boyfriend/girfriend) wako na hukukipata mpaka ile siku mnafikia kuachana?


Funguka.

CC Zero IQ
 
laki mbili yangu aliyonikopa, hadi tunaachana hakunirudishia
Pole, mimi kuna demu nimetoka kuachana nae juzi hapa eti kisa sijamupa kazi, mim nikamwambia kwa sasa uchumi umeyumba siwezi kuongeza wafanyakaxi wakati circle ni ndogo, akanikimbia, na mimi nikamwambia kwaheli, juzi amekipigia sim anaomba msamaha na mimi, nikavimba kichwa, hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom