Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake tusiwaamini sana hawa wanaume na iwe fundisho ata kwako wewe unayesoma hii story! Nilikuwa na mahusiano na rafiki wa mpenzi wangu ambaye niliamua tu kumuacha bila sababu lakini enzi izo...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Nilisoma naye Morogoro, baadae nilisikia yuko Udsm engineering. Yeyote anayejua his whereabouts.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi inakuwaje majirani na watu wanaokufahamu Kufurahia changamoto (shida yako)? Iko hivi kuna jamaa hapa jirani alikuja na gari ya polisi Jana akitokea kituoni na maandamano ya polisi kuja...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mda Baba ako anakaa huku akikutathmini kwa Makini kisha anajisemea kimoyo Moyo bao langu hili[emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote. Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Nampenda na kumuheshimu mama yangu sana, na yeye ananipenda, na anani-treat vizuri, ila saa nyingine ukweli lazma usemwe Mama yangu ametokea kwenye familia ya kimaskini mno, akaja Dar kipindi...
12 Reactions
166 Replies
15K Views
Piga picha Mgeni kaja nyumbani kwako wewe ukiwa chumbani . Pengine mgeni huyu ni mtoto wa shangazi yako, mdogo wako kwa kifupi. Mke anakuja chumbani anakwambia Baby Juma anakuita, tuchukulie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu inakuaje,,stay safe,,stay home tujilinde na Corona inaua...tufate maagizo yote ya serikali.ahsante Nirudi kwenye mada,,Jana siku ya ijumaa mimi na mshikaji wangu tulitoka kuswali mida...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
wanywaji pombe na wavuta bangi hututambia kwa kupiga show za kibabe wakigegeda hata kututamanisha sie tusiotumia vitu hivyo... je wadada kuna ukweli wowote juu ya jambo hili au ni bla bla tu?
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Ukiwa na tabia ya kuiga muonekano wa mtu fulani, au muondoko wa mtu fulani, au kuiga kuzungumza kama mtu fulani, au kuiga mapozi yake ikiwemo kuiga kucheka kwake, kukasirika kwake, kufoka kwake...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Honest Kuna demu mmoja mpemba hiv namkubali Sana je nikimtongoza anaweza kukubali kipindi hiki?simaanishi kufanya mapenzi mwezi Huu maana Kuna watu wana vichwa vigumu kuelewa ni kumtongoza tu...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu niaje mazee, kuna kademu kamoja ni karfk kangu tu, tumezoeana hata wiki 2 hazijaisha ila kameanza kunionyeshea vitu vya ajabu, kanaweza kunitumia sms ya uck mwema saa6 uck, mara saa12...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi uyu mama mkwe ni wa aina gani ukienda nyumbani kwake ni mkarimu sana sijawahi kugombana nae niliwahi kukaa nae mwezi mmoja lakini siku nyingine nilikuwa naenda tu nakurudi pale...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ushauri naombeni members wenzangu wa JF. Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha...
2 Reactions
128 Replies
11K Views
Huyu dada ni mtoto wa ma mkubwa, after kuolewa alibahatika kupata watoto 4. Sie tulijua watoto wote ni wamumewe kumbe hapana, haya yalibainika baada yakua na ugomvi ulopelekea kumwambia mumewe...
11 Reactions
52 Replies
5K Views
Kuna kibomu nakiona kitaripuka hapa siku za karibuni. Kitu kinachonitia wasi wasi nikwamba kabla sijaoa nilikuwa na mwanamke flani hivi (japo amenizidi umri kidogo) Lakini baada ya kuoa nikawa...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice. Tulipiga kazi...
17 Reactions
106 Replies
11K Views
Amani kwenu ndugu zangu, Juzi kati hapa,nilikuwa nasoma gazeti flani hivi la muda mrefu kidogo,sasa nikakutana na sehemu ya maswali na majibu kuhusu mambo ya mapenzi. Kuna binti aliuliza...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanaJF MMU. Tuendelee kuchukua tahadhari zote kama inavyoelekezwa ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya huyu mwamba, ila maisha lazima yaendelee hayawezi kusimama. Baada ya...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Raha ya kudate na Mwanamke Mnene ni kwamba hata ukitongoza PISI nyingine ikikuta Picha zake kwenye simu ikakuuliza huyu nani..!? Unajibu ni Dada yangu Mtoto wa Mamkubwa wangu wa Mwanza [emoji1787]...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom