Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna binti nilimpenda ila sikuwa na lengo la kuja kumuoa yaani nilimtamani tu kwa lugha nyingine kutokana na kuumizwa katika mapenzi niliamua kuwa kama "playboy " . Lakini siku zimepita na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Senior Black Couple Sets Record with 84-year Marriage Liz Bowles/Sun Journal A Craven County couple are in the Guinness World Records book. The two did nothing outlandish such as...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hali ni tete... Wale wanaobadilisha badilisha wapenzi,muda huu si rafiki. Ukipigwa chini hesabu maumivu,huu ni muda wa kunyenyekea kwa mpenzi uliyenaye ili uendelee kuishi na kutumia rasilimali...
1 Reactions
6 Replies
862 Views
Hivi mwanamke unaemfukuzia kukuletea zawadi siku yako ya kuzaliwa na huku wewe mwenyewe haujui kama ndo siku hiyo, kisha ukimuomba mzigo anazingua na hataki kusikia kitu kama hicho inamaana gani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi I hope wote tu wazima. Eti ni kweli kuwa ndoa is an institution easy to enter but hard to get out of it?... nimeliwaza hili baada ya kuwa nashuhudia mifarakano mingi katika institution...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa jey naitaji mwanamke wakufunga nae ndoa umri kuanzia miaka 22 na kuendelea awe Islamic ambae yupo serious namba 0654 26 40 50
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii Kali, hawa CIA ni wajanja sana wa kufikiri katika kazi yao. Kutoka BBC news: 'Viagra lure' for Afghan warlords America's CIA has found a novel way to gain information from fickle Afghan...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi, Mwaka 2006/7 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye nilimfahamu kutokana na mizunguko yangu. Kipindi hicho huyo dada alikuwa akisoma Udsm mwaka wa pili nami nikiwa mwaka huo...
0 Reactions
102 Replies
10K Views
Maisha haya acheni wadau, nimepona la sivyo nilikuwa nakufa. Kuna mwanamke mmoja nakulaga kimtindo, sasa leo nipo naye baa maeneo ya Arusha nashangaa njemba mbili zimekuja moja inadai manzi wake...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Nawasalimu wooote wote kwa jina la yeye mwenye mamlaka mbinguni na duniani. Baada ya salamu hiyo naomba nicheke kidogo japo kwa majonzi😃😢😃😢😢😂😂😤 Corona imebadili baadhi ya mifumo yetu ya kimaisha...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Nimekumbuka mbali. Tusichekane. Nikiwa na umri mdogo, nilikuwa nasikiliza sana vipindi vya redio kabla ya ujio wa televisheni na mapinduzi yake. Huko nikadevelop interest na media lakini zaidi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari? Binafsi nilikuwa nawashangaa wanaume wenzangu wanaooa wake mama wa nyumbani, lakini kadri siku zinavyosonga ndio na mimi nikajua kwanini wengi wao wanafanya hivyo. Mwanamke anakuwa mkeo...
17 Reactions
206 Replies
29K Views
Habarini wakuu, Wakuu mimi nimeanza kupenda na kutongoza mabinti muda sanaa. Nakumbuka kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la nne mwaka 2000 nilitokea kumpenda Jackiline. Jackiline alikua ni mtoto...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wanawake ambao nimesoma nao, shuleni hawakuwa na mambo mengi, hawakuwa na mvuto kiviile, hawakuwahi kutokea hata kwenye top 20, yaani kiujumla walikuwa washamba washamba hivi...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Nyieeee mpooo, leo nimebahatika kujiself karantini na kale kabinti kazuri kazuri nilikowaambia, Saaaasa nawaomba mnishauri jamani wakati tukiwa uku na ako kabinti tufanye nini?? wazazi wake...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi katika kutafuta kazi nilibahatika kufanya kazi kwa Dada mmoja hivi,Leo nina siku ya 23 kwanzia nianze,cha ajabu boss wangu kaleta mfanya kazi mwingine na kaniambia Mimi nisifanye kazi nikae...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiona meseji hii jua kua nimekukumbuka sana, nakumbuka mara ya kwanza nilikusubiri ukashukia kituo Cha daladala pale serengeti opposite na Kibasila Ukitokea Buza (ulikua umenyoa kiduku) ...
6 Reactions
40 Replies
8K Views
Ili uweze kuwa mwanaume kamili, lazima pia uwe na swaga za kishua ili mipango iweze kwenda sawia... Bila hivyo, warembo watakutesa sana.. Warembo mtuvumilie tu, ndivyo tulivyo. Sent using...
5 Reactions
83 Replies
8K Views
Salaam kwenu poleni kwa majukumu ya kila siku Corona ipo na inauwa, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada Hongereni Sana nyie mliokoka kutoka moyoni na sio machoni Kama hunywi pombe huzini huibi...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki? Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe...
19 Reactions
153 Replies
12K Views
Back
Top Bottom