Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani umeshatoa posa bado tarehe yakuoa tu ila mko kwenye vikao gafla katika kuhangaika huku na kule ukakutana na mwanamke wako uliyemuanzishia dunia ya mahaba na ulikuwa unampenda mliachana baada...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Wana jamii poleni kwa mapambano dhidi ya Corona, na hata wale ambao wana ndugu au jamaa ambaye ameathiriwa pia nawapa pole, kikubwa ni kumtumaini Mungu katika kipindi hiki kigumu. Nimekuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU ,nimekuwa msomaji mzuri wa thread za watu lakini leo naona na mie nilete duku duku langu ambalo linanitatiza kila uchwao. Mwaka 2017 baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi...
27 Reactions
753 Replies
60K Views
Habari za muda humu, I hope mko poa sana. Ebana kuna kitu nataka ni share nanyi humu ndani, je unaweza kumuomba mtu urafiki?. Story ipo hivi kuna jamaa nilisoma nae chuo tulikuwa japo course...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Unamtongoza mwanamke anakuambia moja kwa moja bila kukuficha kwamba yeye anapenda hela tu.na si kingine chochote.hii inamaanisha tutafute sana hela. Jamani tutafute hela kwa saaana Sent using...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu huu Ugonjwa wa Corona ni siriaz afu ukiwaza Chain yake basi Walioathirika wanaweza kua wengi kuliko, tuzidi kuchukua tahadhali madhubuti Sasa nije kwenye Mada Hili jukwaa ni kwa ajili ya...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari! Bado naendelea kutoa elimu juu ya kutafuta mwenza (Mke au Mume) na Mungu akipenda tukivuka janga hili la CORONA unaweza kujaaliwa kupata mwenza aliye mwema kabisa. Kuna uzi wa kwanza...
1 Reactions
5 Replies
942 Views
Hii ni off-limit weka mbali na watrotro. Mabaharia tujadiliane maujanja ya survival kipindi hiki kigumu cha COVID19 maana hali imeshakuwa tete. Mimi nimechukulia positive zaidi, hasa kwa sababu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
2007 ndo wakati ambao nilitamani ardhi ipasuke nizame ndani yake baada yakumtia mimba mwanafunzi. Binti alinitaja baada kupokea kichapo heavy licha yakunisisitizia kutofanya hivyo. Nikawekwa selo...
47 Reactions
202 Replies
22K Views
Wakuu natumai hamjambo. Jana jirani yangu karudi usiku akiwa kala maji yakutosha kawakuta sitting room mkewe na watoto wanatizama TV. Jamaa kafika pale anamwambia mkewe, twende chumbani...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF Natumai mtakuwa wazima wa afya bila kupoteza muda niende kwenye mada husika. Kuna jamaa yangu ni mwanafunzi wa form six, huyu bwana yeye kazi yake akiwa likizo ni kubadilisha...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Inakua ni nini asee wajuba wa humu ndichi,,I hope mko yente,,bas bhana kabla ya full story ntakua na "Mbili tatu za mzambuli" ambayo ni story 2 ila haihusiani na Targeted story..Now here we go...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Serikali imepiga marufuku mikusanyiko sababu ya COVID19, hivyo hata gathering kwa ajili ya sherehe za Harusi au Send Off haipo. So vijana ambao bado hamjaoa hamna visingizio tena sijui vya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii imenitokea mara nyingi soon after kukubaliwa napigwa vizinga ila nashukuru Mungu huwa napanga mwenyewe nitumie kiasi gani kwa kila mwanamke na namla mara ngapi hivyo hiwa siendi kwa hasara...
30 Reactions
106 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu, Kwa muda Sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu Hawa dada zetu wanaofanya biashara ya kuuza mwili. Sababu zipi zinafanye wajiingize huko? Pesa, tamaa za mwili au laana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hi Guyz, Sijui hata nlikuwa nawaza nini nimejikuta naomba kujibiwa haka kaswali, We all knows kuna this imagination za sijui 'Mr. Right mara Nice Guy' and all blah blah blah, Just wish to know...
11 Reactions
128 Replies
10K Views
Nimetoka dukani asubuhi hii kunua kanzu yangu nzuri na kibaragashia kwa ajili ya ijumaa ndugu zanguni. Nimeaga naenda kanisani misa ya saa 12, kumbe nilipita zangu kwa washikaji zangu kina Rama...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya maneno mwanaume hutakiwi kuyatumia. Maneno hayo ni kama: Jomoni My Piga kelele kwa nini akeee Mengine mtaongezea wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
153 Replies
19K Views
wanaume wengi tunakasumba yakutumia uongo wa kila aina ili tuwanase wanawake tunaowataka ili tutimize haja zetu za kimwili... pale wanapotugomea zaidi huwadanganya tutawaoa na ku-act kuwahudumia...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Yani wanawake ukisha wajua vizuri hata hawakupi shida kabisa. Mimi nawajua na siteteleki kabisa nao maana nawajua zaidi ya wanavyojua namna tunawavyowajua SASA LEO NGOJA NIONGELEE PICHA ZA WADADA...
21 Reactions
199 Replies
89K Views
Back
Top Bottom