Slay Queen ni nani?

Slay Queen ni nani?

[emoji15]Kumbe unaweza ukawa unadate na slayqueen bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
bila shaka kabisa mkuu,kuna jamaa angu alikuwa na demu afu demu hajatulia wana wakawa wanamwambia jamaa haamini maana anajitetea demu hajawahi kumpiga kizinga
siku moja ameshika simu ya demu anakuta demu anamuomba pesa bwana ake
 
Slay queens ni wale wasichana ambao ni gold diggers, wanao ishi maisha yasio na uhalisia wa maisha yao ya ukweli japo ni wazuri sana wanao mvutia kila mwanaume rijali.

Mara nyingi niwatu wa Instagram na snapchat wakionyesha picha zao wamepiga sehemu za gharama kubwa lakini kiuhalisia wanaishi maisha duni sana.

Hao ukiwatoa wana order Hennessy au Moet vinywaji vya gharama kukuonyesha tu kwamba ni wa high class wakati maisha yao makwao ni duni na wanafanya hivyo ilikujiongezea thamani ya kumchuna mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka ni vitoto vya kike vilivyo balehe miaka 18-23 vyenye akili ya kitoto isiyo na akili inayotokana na kutokujielewa ambapo inapelekea vinapiga picha huku vimebinuka Kama fuso la kokoto na kupost kwenye aina ya app niliyoifuta baada ya dk 5 za kwanza toka niinstall kwenye simu yangu miaka mingi iliyopita Instagram.
 
Slay queens ni wale wasichana ambao ni gold diggers, wanao ishi maisha yasio na uhalisia wa maisha yao ya ukweli japo ni wazuri sana wanao mvutia kila mwanaume rijali.

Mara nyingi niwatu wa Instagram na snapchat wakionyesha picha zao wamepiga sehemu za gharama kubwa lakini kiuhalisia wanaishi maisha duni sana.

Hao ukiwatoa wana order Hennessy au Moet vinywaji vya gharama kukuonyesha tu kwamba ni wa high class wakati maisha yao makwao ni duni na wanafanya hivyo ilikujiongezea thamani ya kumchuna mwanaume


Sent using Jamii Forums mobile app
doh
 
Sababu umeomba maelezo basi acha nijaribu kukuelewesha kwa ninavyoelewa:-

Slay queen ni mabinti kuanzia umri wa miaka 16-35 hapo inategemea na umbile la muhusika km litamruhusu kuslay mpk umri huo. Wanakuaga ni warembo wengi wao wenye sura au maumbile ya kuvutia su vyote kwa pamoja!

Pesa zao nyingi hujipatia kutokana na kufanya miili yao mtaji na pesa hizo pia hutumia kwny kujipara kwa hali ya juu ili waonekane wapo standard. Wengi wao wametokea hali ya maisha ya chini ila hujitahidi sana kulikataa hilo kwa kufanya matendo tofauti km udangaji!
Most of them hua hawana elimu japo hata waliosoma wapo pia!

Utawajuaje:-

Wengi wao hupenda kuvaa wigs za gharama kuanzia laki na nusu and above! Kupaka mikorogo ya bei either ya bei ya juu au ya kati...kucha ndefu zilizochongwa mithili ya mdomo wa kuku mikono yote miwili na miguuni.

Wengi hupenda kupaka lipstick zenye rangi zilizokolea mno km ni nyekundu bas ni nyekundu haswaa..hupenda kuvalia mavaz yanayoscha sehemu kubwa za miili yao km maziwa, mapaja na vitovu hupenda kujitoboa mwili mno km kwenye vitovu ulimi kuvaa vikuku na cheni za kiunon hadharani bila kusahau siku hizi wameibua mitindo mipya ya uchoraji wa TATTOO.

Hupenda kupiga picha sehemu nzuri na za maana km mahotelin au akipelekws sehem km marry brown na KFC na kurecord matukio ya bata yyt anayoyafanya.

Kwao kumiliki IPHONE latest ni km kuwini maisha na hupenda kupiga picha kwa mtindo wa kujibinua na kuonyedha makalio huku akibana tumbo(kwa wale wenye vitambi)

Usafiri wao mkubwa ni bodaboda na bajaj akiwa na vijisent kdg anakodi UBER au TAXIFY pia wapo waliopambana kdg wamenunuliwa gari km

PASSO..IST...RAUM..RUNX..RACTIS...SPACIO..ALLEX na mengine yny mfanani km huo ila mengi ni engine ya vvt-I si unajua yanasave mafuta kidogo[emoji16]

Bila kusahau wanapendaga vingereza uchwara maana ht shule yao ni tia maji tia maji...wana mtindo wa kuiganana maisha km ss hv nimeona wamekuja na mtindo wa kuzaa na kujiita "We are single mothers and happy"

Km utakua hujaelews na hapo bas kaka yng itakua ni balaa[emoji23][emoji23]

Wadada tuache kuact jamani tunajichoreshaga sana!

Nawasilisha[emoji1448]‍♀️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom