Msichana aliyenikataa leo kanipigia simu

ngoma ya ukae

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
611
618
Nilipoona call yake kwanza sikuamini, tuliongea mengi sana nikaona sasa msichana kalainika kaingia kwenye himaya yangu, lakini mwisho wa maongezi yetu akanibomu eti nimpe laki tano atanirudishia baada ya mwezi mmoja, machale yamenicheza, kilichomfanya anipigie simu ni hiyo laki tano.

Wanawake kuweni makini msitufanye hatuna akili.
 
Mkuu onesha uanaume na hujali yaliyopita
mpe hiyo hela halafu sikilizia kifuatacho!

Utuletee mrejesho
 
Ungefanya poa sana kama ungemchana hapo hapo bila kupepesa macho wala kujiuliza, angepata jibu mujarabu kwamba ushaendelea na maisha yako kitambo. Be a man sio mama yako huyo, wapo wengi sana ni uchaguzi sahihi tu.
 
Kuna demu nilikua namtongoza akakubali ila nikaja kubaini hana mvuto kama ule niliodhania. Matiti yamelala na chura hayupo. sasa nikawa sina interest nae tena. kuna siku alinipigia simu nimkopeshe pesa atanipa cheni yake kama dhamana. Kwa kumuonea huruma nikampa tu pesa na cheni nikamwambia akae nayo. Cha ajabu baada tu ya kumpa pesa kanigeuka nikimpigia simu mkali anajifanya hanijui. Aise nimechoka kwa kweli.
 
Katika maisha yangu,demu akinitosa huwa ninaendelea na maisha yangu.KWANI HUWA NINAAMINI,MUNGU WETU ANAKUWA AMENIEPUSHA NA JAMBO.NAUACHA MOYO WANGU USUKUME DAMU TU.POLE SANA NDUGU,KUNA KIPINDI NILIYUMBA NIKAAMINI KUMBE HELA NDIO ZINAWANYA HAWA VIUMBE WATUPENDE.SASA HIVI,WANAJILETA NA SITAKI MAZOEA YA KIPUMBAVU.SI DEAL NAO,NAFANYA YANGU TU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom