Watu wa haiba hii inakuaje wakuu

Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
2,280
4,727
Habari zenu wakuu Mungu atuepushe na janga hili la corona, twende kwenye mada kuna hawa marafiki ambao wao hukutafuta kwenye Shida wakati ninyi si marafiki sana.

Ila kuna wale mabest zao ambao hujumuika pamoja lakini wew anakutafuta akiwa na shida ina maana hao marafiki zake kpnd cha shida hawapo? Au hua mnawachukuliaje watu wa aina hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi ni wanafiki,rafiki yako ni watoto wako,mke/mume na wazazi kama walikuwekea misingi mizuri;sisi wengine ni wapiga mizinga tu tunaweza kukugeuka muda wowote kwa maslai yetu binafsi
 
Back
Top Bottom