Huyu mtu nimjibu nini

Huyu mtu nimjibu nini

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,742
Reaction score
3,319
Habari wakuu

Girl Wangu kanambia ameamua kutoshirikiana na mimi kimwili tena hadi nimuoe, afu mwisho wa siku ananiuliza Mimi nnasemaje kuhusu hilo

Me nawaza nimjibu kwamba yuko sawa maana mwili ni wake na sina mamlaka kwa sasa kutengua vile hisia zake anavofikiri

Je, nitakua nimemsusia shamba nguruwe au niko sawa? Maana me huwa sipendagi vitu vya kujiombeleza ombeleza kwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana bro. Kilichotokea Ni kwamba girl wako kapata bwana mpya na jamaa kaja na gia ya kuoa (likely anataka kufanya hivyo kweli) Ila girl anahisi anapenda kuolewa na wewe zaidi Ila pia hataki kukosa ndoa. So uchaguzi Ni wako eiza utangaze ndoa au akaolewe na jamaa

By the way kwanini hutaki kumuoa?

Kaka we acha tu kuna majanga ya kiuchumi yamenikumba mipango yote haiwezekan kwa mwaka huu mpaka mwakani tena
Nilimwambia na akahaidi kunivumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom