Mwanamke anapomtaka mwanaume kimapenzi na kumwambia hivi, wewe unamchukuliaje?

secretary POMPEO

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,589
2,000
Kiukweli wakati nimepotea kidogo hapa jukwaani baada ya kutoka nchini syschelles nilikua busy sana na biasahara zangu, nilikua nikizunguka mikoa mbalimbali kwa ajili ya biashara zangu, wakati nipo kwenye mkoa mmojawapo kuna dada mmoja nimekua nikifanya nae sana biashara, akaniomba nikale nae chakula cha usku kwake kwani anaishi mwenyewe na hana mume, watoto wapo mjini pale yupo kikazi tuu.

Kiukweli nilienda nikajua ni chakula cha usku tuu baada ya hapo ninaondoka, wakati tunakula pale bila kupepesa macho wala kuuma maneno yule dada akaniambia "UNAJUA MI NAKUPENDA SANA, MINANICHOTAKA KWAKO SIO PESA WALA SITAKI FUTURE NAWEWE KAMA NI WATOTO NINAO, MIMI NATAKA UWE UNANIPA MAPENZI TUU PALE NITAKAPOHITAJI! " nilipigwa na butwaa sana.

Kiukweli baada ya maongezi yale ilinibid nimuombe anionyesha kitanda kilipo nipumzike kwanza kidogo kabla ya kuondoka maana maneno yale yalinichosha akili na mwili kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
3,566
2,000
Hakuna ubaya wowote mapenzi ni hisia sa yeye kukueleza hisia zake kwako kuna ubaya gani mkuu.

Cha msingi na wewe pima kama anakufaa kubali kama hakufai basi mwambie pia.
 

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
3,566
2,000
Mwambie kwanza akupe muda umfikirie.
Alaf pili mwambie unaogopa kuchezewa na kuachwa
Tatu mwambie unaogopa kuharibiwa masomo yako
Alaf nne acha story za kusadikika

Sent using GunTrigger
Mkuu hujawahi kutana na wanawake wa aina hii naona, ngoja ipo siku moja utakuja kuleta ushuhuda hapa binafsi haya mambo yamenikuta sana haya.
 

Gari Moshi

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
411
250
Uma kucha ya kidole cha mwisho cha mkono wa kushoto,kisha kimapozi uku unaangalia chini,mwambie nipe muda nikufikirie ombi lako...ehee...
 

MCHEZA KAMARI

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
553
1,000
Mkuu hujawahi kutana na wanawake wa aina hii naona, ngoja ipo siku moja utakuja kuleta ushuhuda hapa binafsi haya mambo yamenikuta sana haya.
Mimi nimeshakutana nazo sana ila story za huyu jamaa ni za kusadikika halafu bado ni kachalii tu

Sent using GunTrigger
 

monanja

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
305
225
Mwambie kwanza akupe muda umfikirie.
Alaf pili mwambie unaogopa kuchezewa na kuachwa
Tatu mwambie unaogopa kuharibiwa masomo yako
Alaf nne acha story za kusadikika

Sent using GunTrigger
hahahahhaaa....Asije mchezea jamaa bhana aka mpotezea muda sio mkuu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom