SOUL MATE
“People think a soul mate is your perfect fit, and that's what everyone wants. But a true soul mate is a mirror, the person who shows you everything that is holding you back, the person...
Ndugu zangu wana JF naombeni ushauri, nahisi kuchanganyikiwa vituko na visa ninavyofanyiwa na mpenzi wangu. Imefika hatua nimegundua huyu Bi. Dada kanichoka ila yupo na mimi basi tu kwa heshima tu...
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaambiwa,'kijana soma kwanza mapenzi yapo tu, muda ukifika utayachezea mpaka utayakimbia/utayakinai'. Kwa sasa tumeshakuwa wakubwa.
Je, haya mapenzi tunayafaidi kama...
Ndugu zangu wana MMU kwanza naomba nimshukuru mungu kwa kuniponya na lile gonjwa kwa kweli ni kwa neema zake tu mimi kuwa hai
Kuna ID humu imepotea kwenye macho yangu, Ile ID ambayo inaogopwa na...
Wengi tunaingia kwenye mahusiano kutokana na misukumo mbalimbali, mfano:- kupata mwenza, tamaa za kimwili, kuongeza kipato, kuigana n.k
Hii hali imepelekea wanajamii kuhamasika, na kila mmoja...
Kwa utafiti wangu hizi ni moja ya utofauti uliopo kati ya Wanaume na wanawake.
1. KWENYE MSHITUKO
Mwanaume hustuka halafu huangalia nini kimemstua, mwanamke hustuka halafu huzimia. Baadae...
Nimepita mahala nimekutana na EX boy wangu nimempa salamu kiroho safi hajanijibu ananiangalia tu.
Hivi atakuwa anaona najipendekeza? Na kila siku lazima nipite pale anaposhinda maana ndio njia...
Biashara ya ngono(wanawake kujiuza) imeanza zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Jamii imekuwa ikiwachukulia hasi wanaofanya biashara hii (Unakuta mtu ana wanaume watatu au zaidi lkn bado anamsema...
Habari wana jamvi?
Ni kawaida kusikia watu wanatafuta KE wa kuoa au wanawake wanatafuta ME wa kuwaoa.
Nilicho experience mwenyewe katika safari yangu ya kutafuta mke kama walivyo wenzangu ambao...
__________________________
1. KWENYE MSHITUKO
Mwanaume hustuka halafu huangalia nini kimemstua, mwanamke hustuka halafu huzimia. Baadae ataambiwa na mwanaume kilichostua.
2. KWENYE KUPENDA...
Mapenzi ni closed book in short unakuwa hujui nini kipo ndani so unahitajika kuwa very very smart kuweza ili uweze kufika pale ulipopanga kufika,though kwenye mpenzi sio kila kitu kitaenda...
Mapenzi ya sasa yana changamoto sana ukiwa mjinga itakula kwako.
Siku hizi kuwa pekee yako kwa mtu imekuwa ni nadra sana. Saivi wadada wengi anakuwa na mtu anae mpenda na anayemtumia (wa pesa)...
Kutokana na mazingira yangu ya kazi muda mwingi nakuwa niko mbali na familia. Sasa huko nilipo nikawa na michepuko yangu miwili (yote ni chura matata ingawa wanazidiana kidogo). Katika hao...
It hurts a lot kwa kweli.
Nilimpenda ghafla huyu binti niliekutana nae maeneo ya mataa ya chang'ombe jijini Dar.
Japo ilikuwa ni kwa muda mfupi lakini tulipanga panga maisha ya kuwa pamoja kama...
Jamani katika maisha tusipende kutoa ahadi ambazo hatuezi kutekeleza. Tusipende kusema uongo. Just imagine unamuahidi MTU kutwa utamuoa eti hutokuja kumuacha, bad enough unafanya kila uwezalo...
Dunia ina mambo mengi sana wakuu. Unaweza kumpenda mtu na mkaingia naye kwenye mahusiano, baadaye ndio ukagundua kasoro au changamoto alizonazo. Nilishakutana na changamoto moja baada ya kukutana...
Habari wakuu
Mwaka huu niliazimia kuwa na mahusiano rasmi ambayo kama Mola akibariki tufike kwenye kujenga familia maana mwakani nnafikisha miaka30
Kweli mwaka jana mwezi november nilifanikiwa...
Wakuu poleeni na miangaiko ya hapa na pale.
Leo Mkuu wetu wa Nchi, JPM ametangaza kuanzia wiki ijayo atafungua Vyuo vyote Vikuu kwani anadai ugonjwa wa COVID-19 ushaisha na Tanzania ni salama...
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo, nikagundua watoto wa kwanza wa nje ya ndoa kwa wanaume wengi ni watoto wa kike. Hii inachangiwa na nini? au ni kutokana na ile hofu ya kuchepuka ndipo mbegu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.