Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wapendwa Leo nikiwa home kuna jamaa kanipigia simu analalamika eti mpenzi wake kamsave BARAKOA ,nimecheka mpaka mbavu zinauma Nikamwambia hiyo mbona ndogo Mimi tu Mama ilumba...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Wakuu naomba mnipatie list ya nyimbo nzuri za kuzisikiliza wakati wa tendo murua. Nimepata kadada kamoja nimekawinda mda mrefu sasa nataka nikachote vizuri kitandani. Just nyimbo za kuhamasisha...
0 Reactions
221 Replies
35K Views
Tena ulimuacha kwa shit mbaya na jamaa hakukata tamaa ikampa nguvu ya kutafuta na ndani ya miaka miwili mnakutana na jamaa akiwa na maisha ya hatari na mbaya zaidi yupo na msichana mwingine...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Wadau, Mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12, nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo, natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha...
6 Reactions
74 Replies
12K Views
SIFA ZA MWANAMKE (SIFA NJEMA) 1. Awe mwema 2. Mwenye hekima 3. Mwenye adabu 4. Mwenye busara 5. Awe mkarimu 6. Msafi (mwili na nyumba) 7. Mpole 8. Mwenye huruma 9. Mdadisi 10. Mvumilivu 11...
1 Reactions
38 Replies
22K Views
Habari wakuu, Nawakumbusha tuu tuendelee kuchukua tahadhali dhidi ya corona,kwa sasa Tanzania corona haivumi lakini ipo na inaua kimyakimya. Turudi kwenye mada,Kijana mwenzenu nilianzisha...
5 Reactions
121 Replies
10K Views
Wandugu nina wake wawili nawatunza kadri ya kipato changu kidogo lakini kuna binti kila siku hunambia nimuoe! Namjibu siwezi anasema hata anaona wivu namna wake zangu wanavoishi naye anatamani...
2 Reactions
102 Replies
8K Views
Habari za wakati huu wakubwa Naileta kwenu mnisaidie nimshauri huyu kijana Anasema yeye ni mfanyakazi mwajiriwa serikalini, ana miaka 33 mwaka mmoja uliopita alianzisha mahusiano na mwanamke...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Kuna mengi katika maisha ya mapenzi ila zingatia haya kwa ajilii ya furaha yako, MUAMINI- katika kuaminiana kunatunza mengi ikiwa ni pamoja na mazuri na mabaya ila mnapo aminiana katika maisha ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilichojifunza ktk safari ya maisha ya mwanadamu,Haijalishi ni wakati gani ktk maisha yako Penzi laweza ibuka mahali na wakati wowote!Na ikatokea kabisa ukampenda Mtu Kwa dhati ya Moyo wako!yaani...
25 Reactions
74 Replies
8K Views
Shikamoni/marahabaa Kuna mtoto wa kishua nimempenda na tayari ameingia kwenye 18 zangu na yupo tayari kunipa zawadi ya tunda ambalo ameniaminisha kuwa halijawahi kuguswa tangu Mungu aliumbe...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Tushaachana ila no yangu anayo yake ninayo nimepost picha ya EX wangu wazamani anaumia kwanini nimempost EX wangu kwanini bado anaumia wakati ye ndo kaniacha nashindwa kuwa free.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanaoweza kupiga shoo za kibabe, unaweza kuwatambua kwa muonekano huu Wanaume Wanakuwa wako simple kimuonekano Hawapendi kuvaa nguo za vitambaa na kuchomekea Wanapenda kuvaa tshirt na jinsi...
7 Reactions
88 Replies
13K Views
Habarini ndugu zangu. Kweli ule msemo nilio ambiwa na mama ya kwamba kua uyaone mwanangu jana ndio nimeshuhudia. Najua mnakumbuka hapa majuzi mnakumbuka nilikuja kuwaomba ushauri juu ya kabinti...
12 Reactions
48 Replies
6K Views
Kilichofanya niandike hii ni kwasababu hawa wanawake wetu wa kiafrica hawanirizishi kabisa, nadhani siko peke yangu. Hii imenifanya nimkubuke synthia mpenzi wangu mzungu wa kutoka nchini Ireland...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Nimeona kwenye ndoa nyingi, Utakuta mshahara wa mume kwa mwezi ni tsh laki 8, mume na mke wanakaa nyumba ya kupanga, Mme ananunua mahitaji yote ya mwezi ndani ya nyumba k.v unga wa ugali, mafuta...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
"Kwanini uliachana na 'ingiza jina'?"... "Ah tulikuwa hatuendani tu" Ushawahi kujikuta kwenye scenario hiyo? Unaweza kumfanyia mpenzi wako kila jambo uonalo ni jema kwake na bado akakuacha au...
25 Reactions
92 Replies
38K Views
Wadau, Nataka kujua, nitamjuaje mwanaume mwenye mapenzi na malengo na mimi? Ushauri wenu please
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Baada ya kutokuwa huweani toka ijumaa, nimeona ni vyema tukawa na uzi ambao tutakuwa tukiweka link mbalimbali za ndani na nnje ya jukwaa hili zilizotrend ndani ya wiki. Hivo kwa nyuzi zilizo trend...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom