Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe.
Kama wengi wetu tujuavyo, Ndoa ya kwanza ilifungishwa pale Edeni na Mungu mwenyewe. Na ilikuwa ndoa takatifu, iliyobeba msingi na dira ya ndoa nyingine...
Kuna wanawake wamejaliwa matako wakakosa kiuno. Kuna waliojaliwa kiuno wakakosa tako.
Na Kuna wanawake wenye kuringia matako sasa alooooo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]yani...
Binafsi sitasahau Siku moja wakati namvalisha mwanangu akiwa na Miezi 3 baada ya kumuogesha nilishangaa maziwa yanatoka puani na mdomoni na hapo hapo mtoto akawa hawezi kupumua vizuri.
Nilipaniki...
Habari wakuu
Niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa mwàka mzima sasa na tulikuwa tunaishi kama mke na mume ila kiukweli mimi kipato changu kidogo sana na muda wote huo tumeishi kwa furaha na...
Natumai hamjambo wakuu
Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na...
Jamani machungu yangu hayaelezeki, hii naomba mjifunze hata nyie mlioko kwenye mahusiano. Usizae kama hujafunga ndoa yamenikuta naitwa single mother sasa hivi bila kupenda mwanaume alinionesha...
Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke...
Wakuu nauliza tu kama una binamu wa kike mkali sana anaonyesha dalili za kukutaka kimapenzi, ni sahihi kuwa naye kimapenzi hau? Maana kuna binamu yangu hapa kazidi mazoea nataka kuwa naye
Wanajamvi hamjambo?
Natumai mu wazima wa afya, leo nataka nijifunze kitu hapa. Miaka kadhaa ya nyuma tuliwahi kutoa semina hapa jamvini namna yakuindokana na tatizo lakupiga punyeto kwa wanaume...
Habari za asubuhi wananchi wenzangu.
Mimi ni kijana Mtanzania, mwajiriwa serikalini, mwenye miaka 35,nina watoto wawili na huyu mke wangu, ambaye nilifunga nae ndoa mwaka 2016, japo ni ndoa ya...
Habari za uzima wana JF, natumai hamjambo nyote na niwazima wa afya,.
Maada.:
Tusichelewe sana kunako majamboz, mnamo mwaka 2018 nilimpenda binti ambae aliusumbua moyo wangu sana, nilimfukuzia...
Wasalaam,
Hakuna kitu kigumu kama mwanamke kufungua pochi yake akupe hela yake, najua wengi tunalujua hilo.
Ili mwanamke akupatie hela yake fahamu kuwa ameona kitu ndani yako au ulimkosha haswaa...
U know what let me say sio status za whatsapp tuu hata account zao za mitandaoni. Halafu sibagui yani naangaliaga za wote yaani kiufupi naangalia.
Sasa sjui hii tabia ninayo mimi tu ama vipi...
Ndugu Zangu hebu tuwaambieni Ukweli dada zetu wanaoamini katika Make up, kwamba inaongeza uzuri na mvuto.
1.Akikuegemea na uso kama una shati jeupe basi utakuwa kama umejiburuza ukutani...
BABA NAOMBA MPOKEE MKWEO, MPOKEE KAMA ALIVYO.
Baba unanilaumu bila kutambua yaliyo nisibu, unanilaumu nimekuletea mkwa aina gani, naomba mpokee kwa mikono miwili. Huyu ndiyo anifaae kitinda mimba...
Na Ambangile, B
Muda wako ni kitu cha msingi sana ambacho familia yako inahitaji toka kwako, mume wako anashida saana na muda wako kuliko pesa unayoweza kumpa, halikadharika mkeo anashida sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.