Je, haya mapenzi tunayafaidi kama tulivyokuwa tukiyatamani tukiwa bado watoto au yanatuchakaza?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,808
39,013
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaambiwa,'kijana soma kwanza mapenzi yapo tu, muda ukifika utayachezea mpaka utayakimbia/utayakinai'. Kwa sasa tumeshakuwa wakubwa.

Je, haya mapenzi tunayafaidi kama tulivyokuwa tukiyatamani tukiwa bado watoto au yanatuchakaza?
 
Ukitaka mapenzi yawe matamu,fanya hv uwe na Nyumba yako na mke aishi Nyumba yake,afu sometimes mnapotezana kama wik nzima,baadae ndo mnapanga kukutana mtakuwa mnagegedana vzur na pendo litakuwa tamu sana
Hii inasaidia sana,mkikutana mnaonekana wapya
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom