Waungwana habari zebu
Niko na mwanamke na nimezaa nae watoto wawili ,na tunaishi mikoa Jirani
Huyu mwanamke bado sijamtolea mahari zaidi ya kishika uchumba
Sasa wiki iliyopita nlienda...
Nina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na...
Habari wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikiishi nae huyu rafiki angu kama mdogo wangu wa karibu sana ila jambo alilokuja kuniambia leo na kunambia nimpe ushauri kidogo nilisita na nikamwambia...
Kwani hizi Sikukuu Kubwa Kubwa hasa za Kiimani huwa sina Siri gani Kubwa na iliyojificha na Wanawake kiasi kwamba Ukitongoza tu Wiki Mbili au Moja kabla ya Kilele cha Sikukuu za Idi, Pasaka na...
Kuhusu Mimi;
Umri: Miaka 35
Kazi:Mwajiriwa Serikalini
Elimu:Shahada ya uzamili katika maswala ya anatomia ya binadamu.(Human Anatomy)
Familia/Mahusiano:Sina mtoto wala mke ingawaje niliwahi...
Oohhoooo!
Asee waseee hivi kwanini Hawa vimbaumbau weupe wanaongea sana, halafu wengi wao wanaongea fasta fastaaa, kama kanda inasokota.
Na Hawa vimbaumbau weupe vazi lao kubwa ni dela, au Ndio...
Dhumuni la barua hii ni kuomba radhi juu ya maisha uliyoyakuta kwangu !
Nikikumbuka tulipokuwa wote shule ya msingi pale kjjn kwetu Songambele, ulikuwa na ndoto nyingi sana, ulikuwa ukinisimulia...
Wakuu, nipo kwenye mahusiano na binti fulani ambaye nilikutana naye katika harakati za kutafuta maisha hapa hapa mjini yeye akadai ananipenda na wala hakuonyesha dalili tofauti ila siku za...
Zamani nilikua sipendi kudate na mwanamke aged Ila kadili siku zinavoenda naona umuhimu wa kudate na mwanamke aged
Nina sababu zifuatazo:
1: Aged wanaupendo wa dhati akikupenda anapenda kweli
2...
Acha tu niseme bi mkubwa wangu ni bonge la fighter. Licha ya kazi anayofanya kua na maslahi madogo lakini mambo anayoyafanya ni makubwa. Mama yangu ni mwalimu wa shule ya msingi ila mungu kamjalia...
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke...
Kuna comment nimeiona mahali.
Inasema kwamba "ikitokea tumedate, kila mmoja wetu atatakiwa kuweka $250 kila mwezi kwenye joint account (yetu) Ambayo ukiibadilisha kwenye TZS ni laki tano na...
Mwanaume akitaka kukuacha yule baharia wa kweli achana na wale wanaume wa kinondoni walamba lipstick [emoji168] hatakwambia chochote kwamba hakutaki!
Atakupiga matukio hadi utakimbia mwenyewe...
Unakuta umeingia kwenye mahusiano na mtu alieachika mpaka akachizika aidha kufikia hatua ya kutaka kujiua au kufanya fujo ya kutukanana na ex wake,kupigana n.k.Yaani yule mtu ambaye haamini kama...
Achana na ushirikina
Achana na mapishi ya ukweli
Achana na matunda na mbogamboga
Achana na malovee na watoto wakali
Achana na slogan ya waja leo warudi leo
Achana na maneno kwamba Tanga kuna kibao...
Za wakati huu memberz!!
Nakumbuka ilikuwa Jumamosi ya wiki iliyopita nilipoweka mihadi na binti fulani ambaye si haba, Mungu kaweka ufundi wake!
Nlikutana nae katika harakati zetu za kila siku...
Ni kisa kizur kinachotoa mafunzo, Kama nilivyoanza mwanzo....usisome kama una machozi ya karibu...
“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na...
Nipo kwenye mgogoro mkubwa kisa simu wakuu. Mtoto wa Mwaka wa Kwanza analilia simu na kula nimeshamla. Ishu ni simu, simu, simu, sihemi yaani nikiona anapiga moyo unaenda mbio au nikiona text...
Mapenzi yamekuwa yakiumiza watu sana, kuna kusalitiana, kusumbuana pamoja na kuwekeana ahadi hewa (kuchomeshana mahindi) mfano anakuambia atakuja siku fulani na siku hiyo ikifika hatokei...
Binafsi nimewakataa Wanawake kadhaa wenye Majina yafananayo na la Mama yangu Mzazi kwa Hisia zangu tu ambazo sina uhakika kama zitakuwa sahihi au si sahihi kwamba pale nikiwa nafanya nae Ngono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.