Je, wewe ulijiandaa kwenye mahusiano?

Je, wewe ulijiandaa kwenye mahusiano?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,732
Wengi tunaingia kwenye mahusiano kutokana na misukumo mbalimbali, mfano:- kupata mwenza, tamaa za kimwili, kuongeza kipato, kuigana n.k

Hii hali imepelekea wanajamii kuhamasika, na kila mmoja kutafuta mahusiano bila kuangalia ukomavu wa muhusika, na mwisho wa siku kuleta changamoto katika mahusiano hayo.

Ndio maana mahusiano mengi huvunjika, kwa sababu waliopo kwenye mahusiano hawakujiandaa.

Je, wewe ulijiandaa kwenye mahusiano?

kichekot.jpg
 
Mara nimoooo.... Lengo langu lilikuwa kula nakusepa ila Sasa matokeo yake duh...
 
Back
Top Bottom