Nimekuja kugundua kuwa Mke haandaliwi anakuja kama bahati

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Habari wana jamvi?

Ni kawaida kusikia watu wanatafuta KE wa kuoa au wanawake wanatafuta ME wa kuwaoa.

Nilicho experience mwenyewe katika safari yangu ya kutafuta mke kama walivyo wenzangu ambao hamjaoa, nimegundua MKE anatokea kama bahati na hasa mwanaume ukiwa serious na makini sana bila papala wala haraka za kuoa.

Nimewahi kutafuta humu JF lakini huku kote ni showoff tu na kupunguzia stress za maisha ijapo kama wapo waliopata basi hongera kwao

Sijui wengine mna uzoefu gani kuhusu hili.
 
codifier

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
323
500
Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kweli ni bahati mkuu maandalizi mengi sio kigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ihayabuyaga

Member
Aug 22, 2011
81
125

Una bahati...wenzio walipewa reference kama hiyo wakawowa ndoa tena ya kanisani ....miaka 10 ndoa ikaota mbawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom