Ifike hatua jamii ielewe hili

Challya

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
462
579
Biashara ya ngono(wanawake kujiuza) imeanza zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Jamii imekuwa ikiwachukulia hasi wanaofanya biashara hii (Unakuta mtu ana wanaume watatu au zaidi lkn bado anamsema vibaya mwanamke anayejitangaza anajiuza, hapa hamna tofauti ni kama vile tu ilivyo public sector na private sector).

Jamii inatakiwa ielewe kwamba mwanamke kujiuza sio tu kujitangaza kwamba unajiuza bali kitendo tu cha kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwasababu ya maslahi(kudanga) huko ni kujiuza tofauti tu ni kwamba yule anajiuzia kwenye umma na wewe unajiuzia mafichoni.

Tena hawa wanawake wanaojitangaza wanajiuza hawa wanaosimama sehemu yaani huwa ni wasafi sana na wapo makini sana na magonjwa nawafahamu vizuri kwasababu kuna kipindi nilikuwa na tabia ya kuwanunua sana hasa katika safari zangu za mikoani kikazi hadi sasa nimeshafanya mapenzi na wadada wanaojiuza kama 73 hivi ukiachana na hawa wa mitaani ambao ni zaidi ya 100.

Sasa ukija hawa wa mitaani (wadangaji) unakuta mwanamke ana wanaume zaidi ya watatu yupo nao kipesa,(unakuta saa tisa katoka kufanya mapenzi na mwanaume bila condom hlf usiku tena anaenda kulala na mwingine bila hata condom halafu unakuta hata sio msafi halafu bila hata aibu anaanza kumsema vibaya anayejtangaza anajiuza

Ifikie wakati jamii itambue tu hili hapo hamna tofauti, tofauti tu ni kwamba huyo ni wa umma wewe ni wa private basi.
 
Sawa wamekuelewa

IMG_20200515_205205.jpg
 
Ndugu, kweli uko katika nafasi ya kuwanyooshea kidole hao wanawake kweli? Naona wewe ni zaidi yao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mwenyewe una 173 na umekuja hapa kunyooshea wenzio vidole
 
Back
Top Bottom