Unaweza kufikiri unapendwa kumbe unapendwa na majini/mapepo

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,403
40,316
Dunia ina mambo mengi sana wakuu. Unaweza kumpenda mtu na mkaingia naye kwenye mahusiano, baadaye ndio ukagundua kasoro au changamoto alizonazo. Nilishakutana na changamoto moja baada ya kukutana na mwanamke mwenye majini/mapepo. Tukawa tunapendana bila mi kujua kama ana hilo tatizo.

Tulikuwa tukikaa naye, baadaye anaingiliwa na hali ya kuchekacheka huku anarembua macho mi nikawa najua labda ni nyeg..e tu zinamsumbua, kwa sababu alikuwa ananilazimisha nikampe sex. Basi nikawa nachapa mzigo tu.

Wakati nachapa mzigo anakuwa anachekacheka huku anageuza macho juu na kiini kile cheusi kujificha na jicho kuwa jeupe. Mimi nikawa naendelea kumpa dozi tu...mpaka baadaye ndio anashtuka anarudi katika hali ya kawaida na kuniuliza ninamfanya nini. Tumeendelea na staili hizo kwa muda mrefu bila kujua ana tatizo la mapepo.

Na alikuwa akitaka kusafiri labda asubuhi, usiku atanipa penzi la nguvu...na ikifika saa 11 asubuhi alikuwa anaamka na kufanya usafi ndani, na kujipulizia manukato pamoja na kuwasha udi na nyumba nzima kujaa moshi. Nikawa najiuliza inakuwaje anafanya haya mambo kwa sababu hii hali ilikuwa ikijirudia rudia kila anapotakiwa kusafiri.

Kuja kufuatilia ikaonekana alikuwa na mapepo,ikabidi nimpeleke kwenye maombezi. Ndipo nilipogundua, unaweza kufikiri unapendwa kumbe unapendwa na majini.
 
ha ha ha mkuu ungekutana na hiyo hali ungefanyaje?
Nyungu ndo jibu!

Halafu siwezi pendwa na jini maana mi mwenyewe mzimu uliokimbia ktk mizimu tena jini linipende si litakuwa limeruka mkojo na kukanyaga kinanilii kinye...
 
ha ha ha ngoja ije ikutokee mkuu ili uje utupe mrejesho.
 
Never hiyo kitu.. itatokea kwenu nyinyi tu ati mtu anakurembulia unasema jini hivi ulishaona mtoto jicho kama kala ngada wewe..?
Unaona mpaka lenzi ya jicho na mishipa yake!.. huyo hakuwa jini lingekuwa limeshakufanya mshikaki zamani sana
 
Anakuwa anaongea vitu ambavyo havieleweki huku akijichekesha.Unaweza kuhisi labda ni nyeg zinamsumbua
 
Hakuwa jini huyo wewe hofu yako tu..
Ukikutana na jini wewe unafikiri utakaa!
Likianza kuongea kireno mixer kiarabu na kisukuma kwa mbali halafu jua hilo sio jini!! Majini wa kibongo wanakuwaga na kwato au kucha ndefuuu na meno marefuu yani amekaa kulakula tu!
 
ha ha ha ha
 
Dunia ina mambo mengi sana wakuu. Unaweza kumpenda mtu na mkaingia naye kwenye mahusiano, baadaye ndio ukagundua kasoro au changamoto alizonazo. Nilishakutana na changamoto moja baada ya kukutana na mwanamke mwenye majini/mapepo. Tukawa tunapendana bila mi kujua kama ana hilo tatizo.

Tulikuwa tukikaa naye, baadaye anaingiliwa na hali ya kuchekacheka huku anarembua macho mi nikawa najua labda ni nyeg..e tu zinamsumbua, kwa sababu alikuwa ananilazimisha nikampe sex. Basi nikawa nachapa mzigo tu.

Wakati nachapa mzigo anakuwa anachekacheka huku anageuza macho juu na kiini kile cheusi kujificha na jicho kuwa jeupe. Mimi nikawa naendelea kumpa dozi tu...mpaka baadaye ndio anashtuka anarudi katika hali ya kawaida na kuniuliza ninamfanya nini. Tumeendelea na staili hizo kwa muda mrefu bila kujua ana tatizo la mapepo.

Na alikuwa akitaka kusafiri labda asubuhi, usiku atanipa penzi la nguvu...na ikifika saa 11 asubuhi alikuwa anaamka na kufanya usafi ndani, na kujipulizia manukato pamoja na kuwasha udi na nyumba nzima kujaa moshi. Nikawa najiuliza inakuwaje anafanya haya mambo kwa sababu hii hali ilikuwa ikijirudia rudia kila anapotakiwa kusafiri.

Kuja kufuatilia ikaonekana alikuwa na mapepo,ikabidi nimpeleke kwenye maombezi. Ndipo nilipogundua, unaweza kufikiri unapendwa kumbe unapendwa na majini.
Kikubwa mzigo u aliwa basiiiii 😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom