Huu ndio utofauti wa mwanamke na mwanaume

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
622
Reaction score
822
__________________________
1. KWENYE MSHITUKO
Mwanaume hustuka halafu huangalia nini kimemstua, mwanamke hustuka halafu huzimia. Baadae ataambiwa na mwanaume kilichostua.

2. KWENYE KUPENDA
Mwanaume huanza kutamani kisha anapenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo anaempenda.

3. KWENYE KUSAIDIA
Mwanaume hutoa msaada halafu uhuzunika, mwanamke uhuzunika baadae ndo anakumbuka kama msaada unahitajika.

4. KWENYE MAAMUZI
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, halafu baadae hufikiri.

5. KWENYE KUDANGANYA
Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya kumkomoa Mwanaume.

6. KWENYE UGOMVI
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele halafu kila mmoja hurudi kwake kesho tena.

7. KWENYE NDOA
Mwanaume hutafuta maisha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo hutafuta maisha.

8. KWENYE KUKATA TAMAA
Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimuumize, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe.

9. KWENYE KULA
Mwanaume hushiba kwanza ndipo huanza madoido, mwanamke huanza madoido halafu baadae hujilaumu hakushiba.

10. KWENYE SIRI
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga'ake baadae wakigombana humtolea siri zake.

#Hizi_ni_baadhi_tu_ya_tofauti
#Nawe_kama_unazo_zingine_tiririka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume hukojoa akiwa amesimama wakati mwanamke ni lazima achuchumae ndipo akojoe.

mwanaume anajua anataka nini katika maisha ya kila siku ila mwanamke ni kiumbe ambacho hakijui kinataka nini katika maisha ya kila siku na ndiyo maana wana tamaa mkubwa sana.
 
Write your reply...MWANAUME NI MCHUNGAJI MWANAMKE NI KONDOO

MWANAUME HUTOA MSAADA PASIPO KUSIMANGA MWANAMKE LAZIMA ASIMANGE KISHA KUTOA MSAADA

WANAUME TUNA NGUVU NA TUNAFANYA KWA VITENDO HATUNA MANENO MENGI ILA WANAWAKE HAWANA NGUVU VITENDO SIFURI ILA MANENO NI MENGI (WAMBEA)
 
6. KWENYE UGOMVI
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele halafu kila mmoja hurudi kwake kesho tena.

Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: yna2 Cc: Depal

Cc: mahondaw
 
Kiuhalisia mwanamke anasema hapana kumbe ndio kwake. Na mwanaume anasema Hapana hapana kweli.
 
__________________________
1. KWENYE MSHITUKO
Mwanaume hustuka halafu huangalia nini kimemstua, mwanamke hustuka halafu huzimia. Baadae ataambiwa na mwanaume kilichostua.

2. KWENYE KUPENDA
Mwanaume huanza kutamani kisha anapenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo anaempenda.

3. KWENYE KUSAIDIA
Mwanaume hutoa msaada halafu uhuzunika, mwanamke uhuzunika baadae ndo anakumbuka kama msaada unahitajika.

4. KWENYE MAAMUZI
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, halafu baadae hufikiri.

5. KWENYE KUDANGANYA
Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya kumkomoa Mwanaume.

6. KWENYE UGOMVI
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele halafu kila mmoja hurudi kwake kesho tena.

7. KWENYE NDOA
Mwanaume hutafuta maisha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo hutafuta maisha.

8. KWENYE KUKATA TAMAA
Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimuumize, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe.

9. KWENYE KULA
Mwanaume hushiba kwanza ndipo huanza madoido, mwanamke huanza madoido halafu baadae hujilaumu hakushiba.

10. KWENYE SIRI
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga'ake baadae wakigombana humtolea siri zake.

#Hizi_ni_baadhi_tu_ya_tofauti
#Nawe_kama_unazo_zingine_tiririka

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom