Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Habari wakuu
Mwaka huu niliazimia kuwa na mahusiano rasmi ambayo kama Mola akibariki tufike kwenye kujenga familia maana mwakani nnafikisha miaka30
Kweli mwaka jana mwezi november nilifanikiwa kuanza mahusiano na binti mmoja wa mtaa wa pili ambae kiukweli nafsi yangu ilimkubali sana tangu siku ya kwanza namuona hadi leo hii tulipo.
Lakini changamoto ni kuwa siku chache baada ya kuanza mahusiano yetu dadangu wa damu alipata shida kubwa ya kifedha ambayo kama nisingeingilia kati kuokoa jahazi maisha yake yangeingia doa sana kama mjuavo mambo ya mikopo yalivo,kwa hiyo nikalazimika kumkopea bank kiasi ambacho itanilazimu nikae mwaka mzima ndo nirudi kwenye mstari.
Sasa dhumuni kuu la kuandika uzi huu ni kwamba kiasi cha fedha kinachobaki baada ya makato ni kidogo sana kiasi kwamba nashindwa hata kumhudumia mpenzi wangu huyu ambae hana ajira na kwao anaishi na mamake tu nae ni maisha ya chini tu hawezi mtimizia binti mahitaji yake.
So mpaka sasa anaonesha kunivumilia sana ingawa naona kabisa kuna namna mapenzi yetu yamefubaa na hata yeye ile moyo wa kujitoa sana kwangu dizaini umepungua na simlaum kwa hilo
Kwa hiyo wakuu binafsi inaniuma sana na sina amani kabisa kuendelea na haya mahusiano maana me nna asili ya kujali sana na najihisi vibaya kwamba hata 50k ya kubaki kumsaidia mpenz wangu kwa mwezi inashindikana.
Kingine tangu march 22 hajataka tena kukanyaga hom na tupo mitaa jirani,hii ina maana kwamba kaona ntafaidika sana japo kwenye msg mnapochati yuko happy tu na kuna wakati nlijaribu kumpotezea ikawa mwano kwamba labda lengo lilikua kumpata tu wakati ule.
Mwisho naombeni ushauri njia gani bora ya kumuacha huyu dada bila kumuumiza?
Samahani kwa uzi mrefu.