Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwenu wadada: mwanaume asiporidhishwa kingono hupelekea akuchoke mapema ,ashindwe kurudia game, kuchepuka/kukuacha. Ikiwa mnajidanganya kua mwanaume akimwaga maji ya utam ndo karidhika kingono...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni kunishauri nahitaji kujitegemea kutoka nyumbani na kwenda kupanga ila tangu niwashirikishe nyumbani kuhusu mpango wangu kila mtu amelichukulia kwa mtazamo negative kwamba ni...
4 Reactions
209 Replies
13K Views
Kwema wakuuu? Katika pitapita zangu kumsaka mwenza wa maisha nikakutana na huyu mrembo aisee nakiri JF kuna watoto wazuri,huyu binti kutoka hapa jamuhuri ya watu wa jamii forums ni mzuri haswaa...
11 Reactions
159 Replies
12K Views
Habari wakuu, Ni jumamosi tulivu bila taarifa mpya ya Visa vya Corona. Tunazidi kuondoa hofu ya ugonjwa huu hata barakoa hatubadilishi tena. Niende moja kwa moja kwenye Swali, Hivi ni njia gani...
2 Reactions
90 Replies
16K Views
Hasa ukimpata mwanamke anayejua nini maana ya kuwa msafi na kumuheshimu mwanaume. Ukimpata mwanamke ambaye ni mshamba hajui kucheza mechi (kacheza mechi chache sana) inanoga sana, maana kila...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume, 44 yrs Nina watoto wawili Nimejiajiri kwa shughuli zangu binafsi hapa Dsm Dini yangu ni Mkristo , Mwanamke anaehitajika, Mkristo wa dhehebu lolote , umri, elimu na kabila so...
3 Reactions
1 Replies
939 Views
Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen. Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa...
9 Reactions
189 Replies
17K Views
Habari yenu ndugu zangu. Nimekuja kwenu nione kama kidogo naweza kushusha mzigo toka moyoni kwa yale ninayopitia. Sababu ya kunifanya nijiisi napotea ni Pombe,nimekua mtumiaji mzuri sana wa pombe...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ila kuchepuka ndio kubwa kuliko. Tujuze je' ulishawahi kuchepuka? kipi kilikufanya ukachepuka? bado unaendelea kuchepuka? je unajutia uchepukaji wako? je...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja. Tuliendelea kuwasliana mdada ni mwembamba kiasi...
3 Reactions
120 Replies
10K Views
Shkamooni wakubwa! Niende moja kwa moja. Je, kuna yeyote anayepitia au aliyepitia kuwa na mahusiano ya mbali mfano mikoa tofauti? Kipi ni kigumu, na je mnakabili vipi hali za upweke Karibuni...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wapendwa ngoja nikwambieni, 1.Nilipokuwa sijaoa sikuwa na mawazo mapana ya kufanya maendeleo kwa haraka kwa kuwa nilijiona kijana na napambana pole pole kufikia malengo yangu lakin lakini...
19 Reactions
72 Replies
5K Views
Habarini ninyi nyote kokote mliko. Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa nikishuhudia wimbi kubwa la wanawake wa umri 18-30 yrs kuonesha ishara ya kidole cha kati hadharani kabisa bila aibu...
4 Reactions
31 Replies
9K Views
Mzee Ulaya ni dereva wa miaka mingi wa magari ya mizigo yanayoenda Zambia na nchi nyingine kusini mwa Afrika. Mtoto wake wa kwanza a.k.a Mzimu naye alipenda kazi ya babaye, ameangukia katika kazi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalam wana JF wenzangu Ni binti niliekutana naye nakuanzisha mahusiano ambayo mwisho wa siku tukapata mtoto wa kiume. Katika kipindi cha uchauzito alipata mshikaji nakuishi nae Kama mke na...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ni vizuri watoto wako wajue kazi au shughuli zinazokuingizia kipato, ikiwezekana uanze kuwapa misingi tangu wakiwa wadogo labda miaka 3+. Kama wewe ni mfanya biashara au una kampuni yako...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa watu wanasema ndoa ni kama ngome iliyotekwa waliomo ndani wanatamani kutoka lkn waliokuwa nje wanatamani kuingia. Labda nikuambie kitu ndoa ni tamu sana ikipata mwanamke mwenye hekima na...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Je, ni yale ambayo unampenda sana kuliko yeye anavyokupenda, yaani hata ukikuta anakucht unamsamehe tuu au ni yale ambayo yeye anakupenda sana ila wewe upo naye kwakuwa tu yeye anakupenda na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu kuna mwanamke nimeachana naye tuna mwezi sasa na tuliachana kwa kukata mawasiliano tu kutokana na tabia yake aliyokuwa ananifanyia, sasa jana kanitumia sms kuwa amenimiss sana. Naombeni...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom