Ex wangu hajibu hata salamu yangu

Ex wangu hajibu hata salamu yangu

qvee

Member
Joined
May 13, 2020
Posts
19
Reaction score
56
Nimepita mahala nimekutana na EX boy wangu nimempa salamu kiroho safi hajanijibu ananiangalia tu.

Hivi atakuwa anaona najipendekeza? Na kila siku lazima nipite pale anaposhinda maana ndio njia yangu ya kwenda kazini.

Waungwana mnisaidie mawazo lipi jema kupita bila kusalimia nimuache na kiburi chake au niwe namsalimu tu hata kama hajibu salamu zangu?

Time will tell
 
Anajaribu kulinganisha maovu uliyomfanyia anahitimisha hustahili hata salam,

Amepga lockdown hataki hata mazoea usije kumpiga mzinga bure[emoji23]

Kuna X alikuwa kama wewe nilimchunia miez 2, siku nliyokubali salam yake nikaishia "KUMFUA"

Jamaa hataki kufua kiporo anaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom