Mimi ni Jibaba mwenye watoto watano, Kila mmoja na Mama Yake, na Kila mmoja anakaa kwake na mwanawe na Mimi nakaa upenuni kisela.
Juzi Kati nilicheza bahati nasibu moja ya nje na kushinda USD...
Swali toka kwa mdau mmoja hapa ofisini leo asubuhi, anasema anautaratibu nyumbani kwake wa kutoa matumizi ya kawaida kwa mwezi kati ya laki nne hadi sita kutokana na mwezi umeenda vizuri vipi...
So ni hivi, leo mida flani nikajisogeza mahala flani huku kwetu kwa lengo la ku swim kidogo na kupata ka kinywaji kagumu, actually sija-swim nilikua nawaangalia tu wadada wakiswim.
Basi ikafika...
Juzi kuna uzi uliwekwa na jamaa anadai anamahusiano na dada yake,
Nahisi huyo jamaa anaweza kuwa ni shemeji yangu kama sio yeye basi anisamehe.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya udukuzi wa simu...
Natumai hamjambo wananzengo.
Wakuu leo napenda kuizungumzia nguvu ya ushawishi katika mapenzi, hapa kila jinsia ina nguvu yake ya ushawishi katika mapenzi hivyo ni vyema kila mmoja wetu akaijua...
Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku.
Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma...
Marriage does not turn as expected, it is more of a game of chance. Not all couples are living the dream, some are living in hell on earth. Marriages are created by God Almighty and finding a wife...
Ndugu wanajf.
Nashukuru kwa michango yenu ya ushauri juu ya swala langu kwenye uzi wa "Nakimbia ndoa-Naogopa kuua". Nawashukuru sana na heshimu sana mawazo yenu.
Kwakua huyu mwanamke amekua sio...
Habarini wanaJF. Nimatumaini yangu muwazima wa afya wote
Lengo la kuandika Uzi huu ni kupenda kuwasaidia ama kuwapa moyo watu mbalimbali hasa vijana juu ya yale wanayoyapitia katika maisha yao...
Habari za humu wakuu. Natumai mko poa wa afya
Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu
Nimewahi kusikia hizi habari kwamba wanawake huwaga baadhi wanawafunga...
Unakuta mume unamfulia,mpikia,kumung'arishia nyumba na wewe unawaka kama nini baadae nikiwa namuandalia chakula nikasikia simu yake inaita.
Kusikiliza ni mchepuko.
Haloo.
Binti mbona...
Wakuu.
Poleni na mihangaiko na corona pia...Mola atusaidie kuvuka hili jaribu.
Mimi napenda sana mapishi.Na home wanalijua hilo. Napenda sana kula vitu vizuri.
Navutiwa sana na mwanamke...
Wanawake hili fursa yenu mjifunze mapenzi yadhati sio mapenzi ya kupenda pesa kuliko kumpenda mtu au mwanaume anaweza akatokea ukapendana naye lakini kutokana na kutoeleewa dhumuni au jambo muhimu...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Sasa unakuta mwanamke yupo bize na dressing table muda wote anajipodoa ila kupika zero
Mwanamke ana makucha marefu hayakati huo ni uchafu. Jifunze kupika, nenda YouTube ujifunze kupika chakula...
Kila mmoja ana namna yake ya kupenda. Mimi yangu niwe na mrembo muda wote tu, nikikupenda hata sipitii kijiweni moja kwa moja home, mengine nyongeza.
Nilishakutana na mwanamke ambaye kwake...
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa Jana jioni katika Vichaka vya iliyokuwa Tanganyika Packers Kawe aliokotwa Mtoto wa kati ya miaka Miwili hadi Mitatu wa Kiume akiwa ametelekezwa hapo na Mama...
Kila mtu ninayempenda nahisi ananidanganya, inafika hatua naona bora nibaki single tu.
Kwani kina Lipumba hawapo? Mbona wapo single. Najiuliza kwanini nipende wakati naowapenda wanaliwa na...
Eee Bhana eee..! Hii imekaaje wakuu, kwanza habari za jumapili? Kwa wale mlioenda kanisani mtuombee na sisi tupende kwenda uko maana tupo tupo tu..! Sasa stori ni hivi ..juzi kati apa katika mishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.