Eee Bhana eee..! Hii imekaaje wakuu, kwanza habari za jumapili? Kwa wale mlioenda kanisani mtuombee na sisi tupende kwenda uko maana tupo tupo tu..! Sasa stori ni hivi ..juzi kati apa katika mishe...
Mtoto ni zawadi.Ndiyo alama yako utakayoacha hapa duniani. Hizo mali utakazoacha zitagombaniwa zitaisha.Ila jina lako atabaki nalo wewe na atalitumia kwa mjukuu wako kama jina lake la tatu...
💔💔💔💔💔💔💔
Kamwe usiombe ama kulazimisha mtu abaki na wewe kwenye maisha yako kinyume na matakwa yake.
Kumuacha aende kunakufungulia milango ya watu bora zaidi kuja kwako.
Maisha ni mafupi mno...
Wapendwa wangu wana jukawaa salaam.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni...
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia,unamfulia nguo, halafu kwa unampa na mapenzi moto moto unajikunja mwenyewe kwenye sex mtoto wa watu viuno feni mwenyewe na...
MSICHANA Blandina alisikika akiwalaumu majirani zake kijijini huku akilia machozi, akisema, "Jamani mngeniambia mapema nisingekuwa hivi sasa. Lakini mkaniacha tu jamani mimi nawalaumu nyie kwa...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33' kutokana na changamoto za mahusiano na mabinti below 30 kuwa kubwa nimeona sasa ni wakati wa kutafuta same age or above mwenye mapenzi ya dhati.
Mabinti...
Wakuu hbr za kaz
Niko mbele yenu tena kuomba ushauri juu ya hii ndoa yangu, maana inanipa wakati mgumu mno.
Mm ni mama wa watoto wawili, nimeolewa miaka8 iliyopita, niliolewa nikiwa miaka 18 na...
Inakuwaje pale uko kwenye ndoa yako ya miaka kadhaa huku mkiwa na watoto, baadaye inatokea ugomvi mnaamua kuachana na mke/mme wako mliyepambana naye kwenye shida mpaka hapo ulipofikia kwenye hatua...
Habari wana JF?
Nadhani niliwaletea mkasa wa mimi kugombana na boyfriend wangu kiufupi nilitambulishwa na nilifahamiana na mama mkwe na ndugu wote wa ex boyfriend wangu pamoja na wao kuwafahamu...
Habari za sasa wana JF MMU.
Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu...
Nilikuwa na mwanaume ambaye tushaachana kwa sasa, tulibahatika kupata mtoto mmoja tuliachana katika ugomvi flani tulirushiana maneno mengi mengi ila sio matusi wala sio kashfa ni ya kawaida tu...
Huyu shost ameolewa na mume ambae kwao ni the only son ana madada wanne kama hiyo haitoshi mwanaume ni PhD holder. Maisha na mume wake yanakwemda vizuri sana lakini tatizo mama akija kusalimu...
Samtaimz
Katika harakati za kusaka vipochi manyoya huwa tunakutana na miiba, ingawaje baadhi yao mwisho wake huwa tunafanikiwa lakini mwanzo unakuwa mgumu.
Sitosahau siku moja nilipomtongoza...
Je umewahi kumtoroka mwanamke gest/lodge au mahala popote?.
Katika harakati zangu za kuopoa vimwana niliwahi kuwakimbia wanawake lodege kama mara 2.
Tukio la kwanza, kuna siku nikaopoa mwanamke...
Kila mtu anataka ukweli lakini kila mtu hataki kuwa mwaminifu. Ni bora kumuandaa mtoto wa kike kuwa mama bora kuliko kumrekebisha mtu mzima.
Kitchen party ni siku ya kumrekebisha mtu mzima baada...
Kati ya kitu kinacholeta kasi ya mvuto na hamasa kwenye mapenzi ni chupi ya mwanamke. Mimi mwanamke akivaa, mfano tu hizi;
DKNY Signature Lace Bikini Panty 543000 at BareNecessities.com
Wacoal...
Habari ya Jumatatu wana ndugu wote.
Niaze na kumshukuru Mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.
Kiukweli wanawake wana mapungufu...
...hivi inakuwaje, mbona kina mama wengi wanawapelekesha puta sana hawa watumishi wa majumbani?
...utakuta matha-hausi wengine wanadiriki hata kuwalamba makofi hawa mabinti, na kashfa nyingi...
Hebu tujadili hili wana MMU,
House girl ni mtu muhimu sana katika nyumba.
Umuhimu wake ni pamoja na:
-Kukusaidia/kukufanyia kazi za nyumbani.
-Kukulindia nyumba pindi unapokuwa kazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.