Nahisi mke wangu ana mahusiano ya kimapenzi na kaka yake

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,017
49,155
Juzi kuna uzi uliwekwa na jamaa anadai anamahusiano na dada yake,
Nahisi huyo jamaa anaweza kuwa ni shemeji yangu kama sio yeye basi anisamehe.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya udukuzi wa simu ya mke wangu nabaki nashangaa
,Mimi nimekulia mjini na mke wangu kazaliwa kijijini lakini the way anavyowasiliana na kaka yake mpaka nilikuwa najiona mshamba.

Sijawahi kuona ukaribu wa mtu na dada yake kivile.

Hawafichani kitu na wanashare kila stori, Mara waitane luv, mara sweetie, kuna siku niligombana na mke wangu huyo shemeji akamtext kuwa ''asikutishe huyo chasaka kama vipi mbona mi nipo kwa ajili yako'' sikuelewa anamaanisha nini. kisa cha kugomabana na mke wangu ni kitendo chake cha kunibania haki ya ndoa mpaka nafikia hatua ya kutekenya house girl alipokuwa akipiga deki.

Kuna siku alikuwa anaongea na kaka yake kwa pozi nikampora simu kucheki kumbe ni kaka yake.

Huyu shemeji yangu hanipendi kabisa kati ya mashemeji zangu wote sasa nahisi ni wivu kumbuka hawa ni baba mmoja mama mmoja na wamefuatana na jamaa ana miaka 36 lakini hana mke wala kazi ya kueleweka isije ikawa nimemuolea jamaa.

Sasa kama ni wewe naomba uache hapa nakamilisha ushahidi niuanike kwenu.
Ni hayo tu
 
Duu pole sana kama kweli ni hivyo ni wazi kuku ana kula mayai yake! Mueleze wazi mkeo na umwambie hauko tayari kuendelea kuwa mme wake na uwajuze wazazi wake!
 
Duh au kati ya hao ni mtoto wa chungu.. Yani wanashea mzazi moja ambaye ni mama ila baba tofauti na siri anaijua mama tu
 
Back
Top Bottom