Baba ilumba
Member
- Apr 18, 2020
- 37
- 49
Habarini wanaJF. Nimatumaini yangu muwazima wa afya wote
Lengo la kuandika Uzi huu ni kupenda kuwasaidia ama kuwapa moyo watu mbalimbali hasa vijana juu ya yale wanayoyapitia katika maisha yao.
Binafsi Mimi nimepitia changamoto nyingi sana katika maisha yangu, na kutokana na changamoto hizo nawezasema ndivyo nimezidi kuimarika kiakili na kimwili.
Kipindi chote cha maisha yangu sikuweza kuishi na mama kwa muda mrefu nimebahatika kukaa nae kwa muda kama miaka4 . Lakini kwa baba sijawahi gusa na sio kwamba hakuwepo ama hakuwa na maisha mazuri lahasha ,alikuwa ni moja ya watelekezi wa familia zao.
Mbali na kukosa mapenzi ya wazazi wote lakini mungu ni mkuu sana katika ulimwengu huu,maana mpaka hapa nilipo ni ukuu wa mwenyezi mungu mwenye rehema zake kwa viumbe wake dhaifu hapa ulimwenguni.
Kila nikikumbuka jinsi walezi wangu walivyojitolea hali na Mali kuona nafika mbali zaidi ya pale nilipokuwa lakini mwenyezi mungu aliwachukua mmoja baada ya mwingine kabla hata hawajaona na kuonja matunda ya uwekezaji wao😢😢😢😢
Maisha bila ya kuwa na nguzo imara ya usimamizi kwa mtoto yeyote yule ni changamoto sana, na hii ndio sababu kuu ya kuongezeka kwa vitendo vya utovu wa nidhamu kwa vijana wengi(MUNGU HAKUWA NA NIA MBAYA ALIPOSISITIZA KUWA NYUMBA NJEMA HUJENGWA NA FAMILIA YENYE HOFU NAYE)
Mimi mara zote nimekuwa nikiamini kuwa kumcha mungu kwa moyo mweupe ni moja ya nguzo zinazoweza kukuinua katika maisha yako na hili la kumcha mungu ndio jambo kuu kwangu katika ulimwengu huu.
Sema kweli pindi nikiwa mdogo hakuna kazi sikuifanya ,kama kusomba mchanga nimesomba sana, kama kuuza mayai nimeuza sana. Lakini licha ya yote sikumwacha MUNGU WANGU NA ELIMU kwa maana nilielewa kuwa haya yote ni mapito ipo Sikh nitatoboa tu , na ndivyo nayoyafurahia leo hii.
*FUNZO*
1) Wazazi hasa wa kiume tuache mambo ya kutelekeza watoto maana huwezi jua kesho anaweza kuwa raisi na ukakosa la kumwambia ulikuwa baba take.
2) Ni muhimu sana kwa vijana kutokukata tamaa kwa maana hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho Bali ni muda tu ndio utaamua cha msingi tufanye kazi halali kwa bidii zote(KUKATA TAMAA IWE MWIKO KWAKO)
3)Kumcha mungu kiwe kipaumbele chako cha mwanzo kabisa ukiwa huna na ukiwa navyo .
🌎 UJUMBE WA LEO
UKIJISHUGULISHA MAISHA NI RAHISI UKIWA MVIVU MAISHA NI MAGUMU ,FANYA KAZI KAMA MTUMWA ILI BAADAE UISHI KAMA MFALME