Nahisi sijawahi kupendwa

Nathan Jr

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,437
1,875
Kila mtu ninayempenda nahisi ananidanganya, inafika hatua naona bora nibaki single tu.

Kwani kina Lipumba hawapo? Mbona wapo single. Najiuliza kwanini nipende wakati naowapenda wanaliwa na wengine?

Hakuna mwanamke wa peke yako hakika. Nimepoteza Muda, Mali na marafiki kisa mademu
 
Jipende wewe kwanza.

Kama unasubiri kupendwa na binadamu mwenzako utakavyo...utakuwa huna tofauti na kusubiria meli ubungo...

Wanadamu tunamakwazo na wala haturidhiki.ukijipenda kwanza wewe utayafurahia maisha
 
Pole sana kijana.
Tatizo ninalo liona kwako kubwa ni wewe kutoitambua nafasi yako kwa mwanamke wako.
Pia nikukumbushe kwamba, ni hitaji la msingi kwa mwanaume kumpenda mwanamke wake, na sio hitaji la msingi kwa mwanamke kumpenda mwanaume wake.
 
Back
Top Bottom