Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Your wallet can take a vacation When you're with a rich guy ,your own wallet can take a break from all the hard work. He will obviously not allow you to pay when he's so rich. Beside that's...
8 Reactions
341 Replies
18K Views
Nina mpenzi wangu ambaye tumependana kwa miezi 10 sasa, kaja kwetu Msoma kututembelea kutoka kwao Arusha ikiwa ni njia ya kujuana kiundani alikuja akakaa week 1 hotelini Baada ya kumshawishi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari za jioni Ma Bibi na Ma Bwana, Yumkini katika safari yako ya maisha umewahi kukutana na haya maneno Mr and Mrs, Je ulishawahi kujua Maana/kirefu za/chake kwa kila neno moja?! Karibu...
10 Reactions
11 Replies
9K Views
Wanandugu wengine hawanaga uchungu kwa wenzao. Wewe uchumi wako hauko vizuri sana, mtoto alifaulu shule za serikali penye ada nafuu. Matokeo yake unataka umuamishie aende 'private' ada milioni 3...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna muda pesa inakukatikia kabisa na unakuwa haujatoka hata nje siku hiyo sasa kunatokea emergence ndogo sana kama umeme kubakia unit 5 au gesi kukata ghafla. Sasa imagine unataka upate push ya...
19 Reactions
151 Replies
10K Views
Nilikuwa na mahusiano lakini badaye yakavunjika, yalivyovunjika nikawa na wakati mgumu sana ku-recover lakini ikanibidi niwe na mahusiano mapya kwajili ya kupata faraja. Kwakweli sikuchukua mda...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Wana JF habari zenu Demu wangu Jana amenishangaza Baada ya kunifahamisha ana mimba yangu,. Nikamuuliza: Siku zako ulitakiwa uzione lini Akajibu: 30, Jana umenunua kipimo nimekuta nina mimba...
7 Reactions
63 Replies
6K Views
Naombeni ushauri ndugu zangu, acheni kunicheka au kunikejeli, nitawashukuru sana Tukizungumzia swala upendo, Kiukweli sijui namna ya kupenda ipoje, Ni miaka minne ya mahusiano ya mbali, yaani...
6 Reactions
289 Replies
22K Views
Nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi leo. Ameniambia jambo limeniuma sana. Kanieleza rafiki yake anatembea na mke wake. Mara nyingi amekuwa akisafiri na hapo ndipo mke wake anatoka na jamaa...
6 Reactions
102 Replies
11K Views
Wakuu wa MMU, Kumekuwa na dhana ya muda mrefu ndani ya jamii kutokuwa wazi kuhusuana na ukatili unaoendelea katika mahusiano ya kimapenzi. Wengi wao wanaona si jambo la kiungwana kueleza juu ya...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Tofauti na bara mtu akijamba usemwa vibaya ila zanzibar ukijamba mbele ya mpemba walah utaskia anakubembeleza na kuomba ujambe tena na umruhusu ashke hapo ulipo jambia kwa nini hivj?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna wanaume wengine ni watu wa ajabu sana,anakutongoza kwa kutumia nguvu mno Na kama hutomkubalia ataanza kukuchukia na wengine kukutolea mabango( Si ustaarabu kabisa) Kutongoza kuna kukubaliwa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Tafadhali naomba TUPEANE uzoefu kwa wale waliokuwa kwenye mahusiano , lakini mahusiano yao hayakwenda kama walivyotarajia. Je, mlio vunja uhuano mlikuja KUJUTA baadae? Nini kilikufanya umrudie...
0 Reactions
3 Replies
869 Views
Wanawake wakikaa pamoja kwenye mazungumzo yao stori zinazotawala ni kuhusu wao wenyewe (kusengenyana). Pili kuhusu wanaume mwisho kabisa kwa uchache kuhusu maisha na jinsi ya kujiongezea kipato...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia, unamfulia nguo, halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto. Unajikunja mwenyewe kama kambale kwenye sex mtoto wa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna siku nilimpigia mpenzi wangu simu, akasema subiri nikifika Nyumbani nitakupigia nimemsindikiza dada kazini kwake hapa Mlimani City mara moja, alipokea kana kwamba ana wasiwasi, na ukizingatia...
9 Reactions
68 Replies
6K Views
Kuna wakati tunaachana na wapenzi wetu kwa sababu mbalimbali,wengine ni kwa wema wengine kwa shari. Aliyekuwa mpenzi wangu nilitengana nae ananiombaga sana vijipesa vidogo vidigo,kukweli kuna...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wakuu Wakuu kama una watoto wa kike basi pita hapa panaweza kukufaa, binti yangu alipotimiza miaka 6 nilitafakari nifanye kitu gani kumnusuru na mabaharia atakapobalehe ili...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna shosti wangu yaani akilala na mpenzi wake lazima aje anielezee ilivokuwa. na sio ananaieleza mimi tu hata beki tatu wake huwa anampa hizo story, ilikuaje, walianzaje, kapigwa vingapi...
19 Reactions
222 Replies
28K Views
Back
Top Bottom