Fungo kwa wachepukaji. Je, ni kweli haya mambo yapo?

colin_morgan

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,443
2,895
Habari za humu wakuu. Natumai mko poa wa afya

Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu

Nimewahi kusikia hizi habari kwamba wanawake huwaga baadhi wanawafunga waume zao yaani wakiwa kwa mchepuko mambo yawe ndivyo sivyo. Kiukwel mimi si mfuasi wa mambo ya kishirikina hata kidogo hivyo sikuweza kuamini hayo mambo ila sasa yamenikuta.

Mke wangu ni mwanamke wa kipemba, kabla sijamuoa nilikua nina mademu tofauti tafauti na kila week lazima nipige show ya kibaba na mmoja kati ya hao ila tangia nimeoa huyu mwanamke ni mwaka wa 4 sasa cha ajabu nimekua nina mahusiano na wanawake wa nje kama watatu hivi, tatizo wote nikikutana nao kwa ajili ya game ya ugenini aise! hisia haziji kabisa

Yaani ninapoteza total uwezo wa kusimamisha ila kwa wife nikirudi naweza kufanya hata mara 4 tena show ya kibabe sana. Mwanzo nilihisi ni hofu ila sasa nimeanza kushtuka

Naomba mawazo yenu wakuu, hivi haya mambo yapo au kuna tatizo lengine limeanza kunitokea? Naomba ushauri na uzoefu wenu wakuu katika hayo mambo please

Mnakaribishwa.
 
....... kwisha habari yako ushatengenezwa wewe.

Cha muhimu kwa sasa ni wewe kubaki njia kuu (kwa mkeo) ili usiendelee kuumbuka huko ugenini.
mmh ..mkuu inawezekana vip ?

kuna uhusiano gan mpaka hili ninawezekana ...nahis kuanza kupoteza kujiamin kwa kwel
 
Mamen wenzangu niseme hapa? Nataka ruhusa yenu ,nahofia ntakua nawafundisha wanawake kutuadhibu,maana Mimi Kuna Dem wangu mtu wa tanga alinifundisha.
 
Inawezekana huko kwa michepuko unatumia condom na pengine wewe ni mmoja ya watu ambao wakivaa ndom hawafurahii tendo,nimewaza tu.
 
Nasema kwa faida ya wanaume wote.alichofanya,wakati mnakwich kwich,mlipomaliza kaxhukua kitambaa,kajifuta na wewe kajifuta baada ya hapo kakifunga fundi Kama tatu. Hivi,na kakificha,ili wewe ukipenda nje mashine isisimame.ili upone ,kwanza huwezi muuliza,nalifahamu hilo.

Tafuta hicho kitambaa ukifungue mafundo yote,huu uchawi mbaya Sana ambao madem wanatumiana kwenye magroup.
Wengine tunaposema wanawake ni watu hatari ndio Kama hivyo.
 
Yaani hata bahati mbaya ikitokea yeye kafariki,wewe huwezi oa Tena,hapo ndipo ninapowashangaa akili za wanawake.
Jitahidi update hicho kitambaa ukifungue ili uendelee kupiga mechi za ugenini.
Kila la kheri katika mapambano yako mkuu.
Tafuta kitambaa hicho.
 
Nasema kwa faida ya wanaume wote.alichofanya,wakati mnakwich kwich,mlipomaliza kaxhukua kitambaa,kajifuta na wewe kajifuta baada ya hapo kakifunga fundi Kama tatu. Hivi,na kakificha,ili wewe ukipenda nje mashine isisimame.ili upone ,kwanza huwezi muuliza,nalifahamu hilo.
Tafuta hicho kitambaa ukifungue mafundo yote,huu uchawi mbaya Sana ambao madem wanatumiana kwenye magroup.
Wengine tunaposema wanawake ni watu hatari ndio Kama hivyo.
Daah shukran mkuu hawa watu ni wakatili sana
 
Nasema kwa faida ya wanaume wote.alichofanya,wakati mnakwich kwich,mlipomaliza kaxhukua kitambaa,kajifuta na wewe kajifuta baada ya hapo kakifunga fundi Kama tatu. Hivi,na kakificha,ili wewe ukipenda nje mashine isisimame.ili upone ,kwanza huwezi muuliza,nalifahamu hilo.
Tafuta hicho kitambaa ukifungue mafundo yote,huu uchawi mbaya Sana ambao madem wanatumiana kwenye magroup.
Wengine tunaposema wanawake ni watu hatari ndio Kama hivyo.
Ohoo
 
Mamen wenzangu,tahadhari nawapa,ukipenda kupiga shoo iww nje au ndani,hakikisha hufutwi na mwanamke kwenye duduuz yako,akikufuta,na yeye akijifuta akifunga mafundo,mechi za ugenini utaisikia bombani tu.tuwe makini Sana.
Msiseme sikuwaambia.
Faida kwa wanaume wooote wa jamii forum,waliopitia Uzi huu,Kama sijaelewwka niulize hata pm ntakujibu.
 
Back
Top Bottom