Ni kipi ukikiona kwa mpenzi wako unasema hapa unapendwa kweli kweli?

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,732
Kila mmoja ana namna yake ya kupenda. Mimi yangu niwe na mrembo muda wote tu, nikikupenda hata sipitii kijiweni moja kwa moja home, mengine nyongeza.

Nilishakutana na mwanamke ambaye kwake kupendwa ni kuhongwa. Basi ukimhonga atakusifia unampenda hadi siku inaisha. Ila kiukweli nilikuwa simpendi nilikuwa namhonga tu.

Wewe huwa ukipenda kitu gani huwa unafanya? Na ukipendwa ishara gani huwa zinakuonyesha hapa kweli napendwa.
 
Sijui kwanini wanawake machepele huwa wanavutiwa nami..!
Inatokeaga automatic tu wananizoea! nje na makeke niliyonayo humu jf mtaani ni mpole na mkimya kiasi wengine huwawia ugumu hata kuwanao na mazungumzo in deep!..

Upole wangu huku uraiani nikisema niutumie walahi ntakufa siku si zangu😅

Binafsi napenda taratibu actually kwa real love kutoka kwangu huwa nalipima kama mtu husika nimeanza kuonana nae kwa muda usiopungua miezi 3 na kuendelea!..
Hapo ndo huwa naweza sema nimependa lkn nje na huo muda ati siku moja ama mwezi au wiki ha ha ha!
Huko ni kutamani tu😜😜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom